Nimekubali kwamba Magufuli kapanyoosha Bandarini DSM

Nimekubali kwamba Magufuli kapanyoosha Bandarini DSM

wachaga wengi wapiga deal hawafai kabisa
Wapiga dili hamuwaoni huko ccm?

mtabaki maskini mkisubiri Magu awapelekee maendeleo kijijini kwenu badala ya kufanya kazi kwa bidii kama wachagga.


Wachagga wapo vizuri kukamata fursa ambazo mtanzania mjinga hazioni. Leo wachagga wanamiliki ardhi kubwa, biashara na maelfu ya n'gombe ndani ya wilaya ya chato.
 
Wengine wapo busy kuvuruga mipango ya maendeleo ya rais, Ila wananchi wamchukie. Rais akitatua kero za maji watasema si bora angetatua kero za ndoo za maji, Sasa hayo maji wataweka kwenye nini, ili mradi wapingane tu mazuri anayofanya Rais, keep it doing Mr President, wenye akili tunakuelewa. Hata Roma haikujengwa kwa siku moja.
 
... Jamaa anaemiliki gorofa Bunju leo alipanda daladala... Kwa hiyo kipindi anajenga gorofa hata Vitz hakununua? Hakufungua hata biashara ya genge?
Anaishi bunju mafuta kila siku kwenda na kurudi na service..kumbuka yupo kitengo cha kawaida na sasa anaishi kwa mshahara..kama alikuwa na discovery hataimudu tena..akiiuza anunue vitz itakuwa kituko mtaani..bora iendelee kuonekana nyumbani kama geresha..
 
Wanajamvi nawasalimu,

Muda mfupi sana uliopita nlikutana na jamaa mmoja yuko bandari, aliyonieleza ndio nimekubali kua Magu kapanyoosha sana bandarini. Pale bandari ndugu zangu wachaga walipageuza shamba la bibi, jamaa ananiambia kuwa enzi hizo ilikua inakuja meli nzima na inapita bila kulipiwa hata kumi, makontena ya magari, electronics n.k yalipitishwa kama makontena ya mtumba, kifupi kila mtu alikua anajipigia atakavyo.

Jamaa alikua kitengo cha kawaida sana lkn ananiambia amejenga gorofa huko Bunju, anasema enzi hizo ilikua mtu kurejea nyumbani na laki tano kwa siku analalamika kua siku ilikua mbaya sana, kifupi huko ndiko bandari yetu ilikokua imefika, anasema hata kina Kipande wameshinda kesi maana walipokea vimemo kutoka nyumba adhim vyenye maagizo yakutoa makontena ya watu, tena wengine sasa wanajitolea sana Serikalini (wanatakatisha pesa).

Ila sasa jamaa anasema huko bandari ni balaa, ukaguzi wake sio kawaida, na wanaokagua ni watu hawajulikani wanatoka wapi na ofisi gani, jamaa anaemiliki gorofa Bunju leo alipanda daladala, kawa mpole na mwenye nidhamu haswa, na anasema Magu kabana haswa..Kifupi nachukua nafasi kumpongeza Magu maana kwa ushuhuda huu ni kweli kafanya mengi ambayo wabaya wake hawapendi kuckia..

Komaa mzee tunyooshe mpaka maji tuyaite mma
Umesahau juzi mchanga wa dhahabu na yale magari kwenye likonteina?
 
wewe ni mchaga kumbe, msubiri miaka 10 ya bwana huyu, mlitutesa sana
Hahaha ha... Mtaisoma namba nyinyi wenyewe, wachagga wataendelea kuwatesa na kumiliki uchumi mpaka atakapokuja Kristo.
 
Anaishi bunju mafuta kila siku kwenda na kurudi na service..kumbuka yupo kitengo cha kawaida na sasa anaishi kwa mshahara..kama alikuwa na discovery hataimudu tena..akiiuza anunue vitz itakuwa kituko mtaani..bora iendelee kuonekana nyumbani kama geresha..
Mwenzako ana ghorofa, wewe una nini?
 
Humu wapo watu wawili nawajua wameiba sana bandarini na wamejenga mighorofa huko goba na bunju
 
Wapiga dili siyo wachaga peke yao. Kipande naye ni mchaga? Tumieni lugha ya kidiplomasia na kutoudhi makabila mengine
Makabila yalikumbwa kwa umasikini wa fikra, ujinga, njaa, na maradhi ndio wenye kusema wachagga ndio wapiga dili.

Enye makabila, fanyeni kazi kwa bidii kama wachagga na maendeleo mtayapata.
 
Anaishi bunju mafuta kila siku kwenda na kurudi na service..kumbuka yupo kitengo cha kawaida na sasa anaishi kwa mshahara..kama alikuwa na discovery hataimudu tena..akiiuza anunue vitz itakuwa kituko mtaani..bora iendelee kuonekana nyumbani kama geresha..
... Kwa hiyo hata kabiashara hakuwa nako? Hata ka hardware, kaduka etc? Hata kajumba Ka kupangisha?? Ye kakimbilia moja kwa moja gorofa ili awakoge wenzake??
 
Back
Top Bottom