Nimekubali kwamba Magufuli kapanyoosha Bandarini DSM

Inawezekena nchi hii wezi na wabadhilifu ni wengi kuliko wapiga kura waungwana na wenye maadili mema?
 
Makabila yalikumbwa kwa umasikini wa fikra, ujinga, njaa, na maradhi ndio wenye kusema wachagga ndio wapiga dili.

Enye makabila, fanyeni kazi kwa bidii kama wachagga na maendeleo mtayapata.
wachaga wamepata maendeleo kwa kuiba na kufisadi nchi mkuu hakuna cha kufanya kazi kwa bidii
 
Linalo ongelewa si utajiri wewe
hapa ni wizi ulio fanyika Bandalini

Madeni kipande ni mchagga?
Mwenyekiti, katibu, na. Wajumbe wa bodi ya bandari ni wachagga?
Mkurugenzi wa bandari ni mchagga?
Meneja wa Bandari ni mchagga?
Meneja wa usalama bandarini ni mchagga?

Wanaosafirisha makontena ya udongo wa dhahabu ni wachagga?

Wezi ni nyinyi wenyewe. Acheni kusingizia makabila ya watu.
 
Wanajamvi nawasalimu,

Muda mfupi sana uliopita nlikutana na jamaa mmoja yuko bandari, aliyonieleza ndio nimekubali kua Magu kapanyoosha sana bandarini. Pale bandari ndugu zangu wachaga walipageuza shamba la bibi, jamaa ananiambia kuwa enzi hizo ilikua inakuja meli nzima na inapita bila kulipiwa hata kumi, makontena ya magari, electronics n.k yalipitishwa kama makontena ya mtumba, kifupi kila mtu alikua anajipigia atakavyo.

Jamaa alikua kitengo cha kawaida sana lkn ananiambia amejenga gorofa huko Bunju, anasema enzi hizo ilikua mtu kurejea nyumbani na laki tano kwa siku analalamika kua siku ilikua mbaya sana, kifupi huko ndiko bandari yetu ilikokua imefika, anasema hata kina Kipande wameshinda kesi maana walipokea vimemo kutoka nyumba adhim vyenye maagizo yakutoa makontena ya watu, tena wengine sasa wanajitolea sana Serikalini (wanatakatisha pesa).

Ila sasa jamaa anasema huko bandari ni balaa, ukaguzi wake sio kawaida, na wanaokagua ni watu hawajulikani wanatoka wapi na ofisi gani, jamaa anaemiliki gorofa Bunju leo alipanda daladala, kawa mpole na mwenye nidhamu haswa, na anasema Magu kabana haswa..Kifupi nachukua nafasi kumpongeza Magu maana kwa ushuhuda huu ni kweli kafanya mengi ambayo wabaya wake hawapendi kuckia..

Komaa mzee tunyooshe mpaka maji tuyaite mma

Salute sana kwa mkuu
 
Binafsi huwa nikiona watu wanatuka humu kwa chuki kaliiii najua tu ndio wao - Sehemu pekee iliyobaki ya kupunguzia stress kwa kutukana ni JF na Instagram

- Chuoni kwetu wanafunzi waliokuwa wamemaliza na kwenda kujitolea hapo Bandari back 2015 walikuwa wanatoka na Dola 200$ kila siku, lakini kwa sasa hakuna anaetaka kwenda maana hupati hata 100!
Wewe ni mpuuzi dola mia 2 unazijua per day mbona you can not use even simple logic.
 
Acheni ukabila, kama huna cha kuandika. Wachaga eti wezi, nenda magerezani ukahesabu wako asilimia ngapi kwa wizi. Acha wivu na umbea wewe mtoto wa kiume Fanya KAZI.
 
Wanajamvi nawasalimu,

Muda mfupi sana uliopita nlikutana na jamaa mmoja yuko bandari, aliyonieleza ndio nimekubali kua Magu kapanyoosha sana bandarini. Pale bandari ndugu zangu wachaga walipageuza shamba la bibi, jamaa ananiambia kuwa enzi hizo ilikua inakuja meli nzima na inapita bila kulipiwa hata kumi, makontena ya magari, electronics n.k yalipitishwa kama makontena ya mtumba, kifupi kila mtu alikua anajipigia atakavyo.

Jamaa alikua kitengo cha kawaida sana lkn ananiambia amejenga gorofa huko Bunju, anasema enzi hizo ilikua mtu kurejea nyumbani na laki tano kwa siku analalamika kua siku ilikua mbaya sana, kifupi huko ndiko bandari yetu ilikokua imefika, anasema hata kina Kipande wameshinda kesi maana walipokea vimemo kutoka nyumba adhim vyenye maagizo yakutoa makontena ya watu, tena wengine sasa wanajitolea sana Serikalini (wanatakatisha pesa).

Ila sasa jamaa anasema huko bandari ni balaa, ukaguzi wake sio kawaida, na wanaokagua ni watu hawajulikani wanatoka wapi na ofisi gani, jamaa anaemiliki gorofa Bunju leo alipanda daladala, kawa mpole na mwenye nidhamu haswa, na anasema Magu kabana haswa..Kifupi nachukua nafasi kumpongeza Magu maana kwa ushuhuda huu ni kweli kafanya mengi ambayo wabaya wake hawapendi kuckia..

Komaa mzee tunyooshe mpaka maji tuyaite mma

Gorofa ipi Bunju?

Wachaga gani na wapi hao, Mkuu?

Eeh Mungu mpendwa tuepushe na fitna na nadharia za kibaguzi ! Amen!

Kama si kawaida yako kusema maneno haya ya Fitna, basi iwe ni mwisho kwako, na usameheke hapa duniani na kesho mbinguni, na iwe ni sehemu ya changamoto upige kazi, na Mungu akulipe jitihada zako na awatunze familia yako, Amen!

Basi ikiwa ni kawaida yako, basi Ewe Mungu muumba wa sote sisi, akupe wepesi, wakufahamu tumeumbwa tofauti ili tufahamiane na tupendane kweli kweli. Amen

Mapenzi ya Allah yawe juu yako na zaidi juu ya familia yako na zetu wote. Amen! Amen!
 
Madeni kipande ni mchagga?
Mwenyekiti, katibu, na. Wajumbe wa bodi ya bandari ni wachagga?
Mkurugenzi wa bandari ni mchagga?
Meneja wa Bandari ni mchagga?
Meneja wa usalama bandarini ni mchagga?

Wanaosafirisha makontena ya udongo wa dhahabu ni wachagga?

Wezi ni nyinyi wenyewe. Acheni kusingizia makabila ya watu.
kipindi cha madili bandarini mkurugenzi alikuwa mchaga Harry Kitilya yuko jela sasa hivi kwa ufisadi
 
Enzi ya mkwere makontena yalikuwa yanapita bure,magari yanaingizwa bila ushuru,wafanyakazi hewa,wanafunzi hewa,na kila kitu hewa lakin hali ya uchumi ilikuwa nzuri,huyu bwana mkubwa ameweza kudhibiti vyote lakin uchumi wa nchi unatumbukia shimon,tujiulize amekosea wp?
 
mijitu mikabila sanahumu. Eti wachagga wapiga dili. Sizonje dili ngapi kapiga. Anaiba had rambitambi shame. Si huyu ndie alikwapua nyumba za serikali na kuwagawia mahawara kama njugu? Dili ngapi kapiga maten pasenti akiwa wazir. Dili la meli na kivuko. Hamna hata aibu kuwaonea wachagga.

Ndio maana wameru hatuwataki kwenye ardhi yetu

Saddist nyinyi na adui wa maendeleo.

MNAKERA
 
Wanajamvi nawasalimu,

Muda mfupi sana uliopita nlikutana na jamaa mmoja yuko bandari, aliyonieleza ndio nimekubali kua Magu kapanyoosha sana bandarini. Pale bandari ndugu zangu wachaga walipageuza shamba la bibi, jamaa ananiambia kuwa enzi hizo ilikua inakuja meli nzima na inapita bila kulipiwa hata kumi, makontena ya magari, electronics n.k yalipitishwa kama makontena ya mtumba, kifupi kila mtu alikua anajipigia atakavyo.

Jamaa alikua kitengo cha kawaida sana lkn ananiambia amejenga gorofa huko Bunju, anasema enzi hizo ilikua mtu kurejea nyumbani na laki tano kwa siku analalamika kua siku ilikua mbaya sana, kifupi huko ndiko bandari yetu ilikokua imefika, anasema hata kina Kipande wameshinda kesi maana walipokea vimemo kutoka nyumba adhim vyenye maagizo yakutoa makontena ya watu, tena wengine sasa wanajitolea sana Serikalini (wanatakatisha pesa).

Ila sasa jamaa anasema huko bandari ni balaa, ukaguzi wake sio kawaida, na wanaokagua ni watu hawajulikani wanatoka wapi na ofisi gani, jamaa anaemiliki gorofa Bunju leo alipanda daladala, kawa mpole na mwenye nidhamu haswa, na anasema Magu kabana haswa..Kifupi nachukua nafasi kumpongeza Magu maana kwa ushuhuda huu ni kweli kafanya mengi ambayo wabaya wake hawapendi kuckia..

Komaa mzee tunyooshe mpaka maji tuyaite mma
Acha ukabila wewe ndio maana utakufa maskini invest in education you will see the difference, uliza ni wachagga wangapi wana degree, masters na PhD. Uliza ni wachagga wangapi wako nnje ya nchi, elimu elimu elimu,
 
Huna sababu ya kumpongeza hilo ni jukumu lake.actually ni jukumu la serikali ya CCM kwa muda wote huo CCM ndo wakuwalaumu wametueletea umasikini mkubwa sana watanzania.
 
C
Wanajamvi nawasalimu,

Muda mfupi sana uliopita nlikutana na jamaa mmoja yuko bandari, aliyonieleza ndio nimekubali kua Magu kapanyoosha sana bandarini. Pale bandari ndugu zangu wachaga walipageuza shamba la bibi, jamaa ananiambia kuwa enzi hizo ilikua inakuja meli nzima na inapita bila kulipiwa hata kumi, makontena ya magari, electronics n.k yalipitishwa kama makontena ya mtumba, kifupi kila mtu alikua anajipigia atakavyo.

Jamaa alikua kitengo cha kawaida sana lkn ananiambia amejenga gorofa huko Bunju, anasema enzi hizo ilikua mtu kurejea nyumbani na laki tano kwa siku analalamika kua siku ilikua mbaya sana, kifupi huko ndiko bandari yetu ilikokua imefika, anasema hata kina Kipande wameshinda kesi maana walipokea vimemo kutoka nyumba adhim vyenye maagizo yakutoa makontena ya watu, tena wengine sasa wanajitolea sana Serikalini (wanatakatisha pesa).

Ila sasa jamaa anasema huko bandari ni balaa, ukaguzi wake sio kawaida, na wanaokagua ni watu hawajulikani wanatoka wapi na ofisi gani, jamaa anaemiliki gorofa Bunju leo alipanda daladala, kawa mpole na mwenye nidhamu haswa, na anasema Magu kabana haswa..Kifupi nachukua nafasi kumpongeza Magu maana kwa ushuhuda huu ni kweli kafanya mengi ambayo wabaya wake hawapendi kuckia..

Komaa mzee tunyooshe mpaka maji tuyaite mma[/QUOTE
CDM lazima wakubishie !
 
Acha ukabila wewe ndio maana utakufa maskini invest in education you will see the difference, uliza ni wachagga wangapi wana degree, masters na PhD. Uliza ni wachagga wangapi wako nnje ya nchi, elimu elimu elimu,
they are saddist these people. Thick minded that's why I don't even mingle with them here. Afadhali wakenya wanaonesha waz hao ni makabila. Reckless hatred and stupidity at highest level.
 
Back
Top Bottom