Nimekua, natamani kujitegemea

Nimekua, natamani kujitegemea

Muda wote ulikua unawaza nn???.........hyo tamaa ulitakiwa Kuwa nayo toka unamiaka 15.....now usingekuwa hapa......
 
Akili ilikuwa bado haijakua

Sent using Jamii Forums mobile app

Teknikale mimi niliondoka home nikiwa na miaka 13 tu na hii ni mara baada ya kumaliza darasa la saba. Mimi pia nilijibanza kwa ndugu kwa muda fulani huku nikipambana kusaka elimu na maisha. Tangu kipindi hicho sijawahi kurudi nyuma namshukuru Mungu maisha yanasonga.
 
mkuu upo mwanza!?? unaish sehem gan!? japo nna muda cpo huko ila nna uhakika kuna maeneo mpka vyumba vya 10k vipo, na havina mandhari mbaya kihivo, ukilipa miezi mi3 30k.. baada ya hapo unaweza jipanga mdogomdgo hta ukilalia mkeka haina shaka.. usiogope hta dem wako kumpeleka unapokaa teh teh akikuacha ujue huna dem hapo. mengine yatafuata baada ya hapo.. ila ukianza nakusihi nidhamu ya maisha kua nayo vijana wengi wanafeli hapo!, ishi vizuri na watu maana hyo pia ni CONNECTION ya kupata michongo harakat kazi n.k

Vp mkuu,nahisi sahiz upo vizuri limeisha....

Ni kweli mkuu chumba cha 10000 unapata, na madem wengi sahiz wanapenda wakute et upo vizuri na kulalia mkeka ndo kipimo tosha cha kumjua mpenzi bora au mbabaishaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu katika haya maisha bila kufanya maamuzi magumu huwezi kupata mafanikio makubwa.
Learn to burn your ships.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea ukweli, mimi kuna ule Uzi wa ' ulianzaje kukaa geto' nikiusoma aiseee ulinipa nguvu ya kufanya maamuzi magumu ya kutoka home na kwenda kujitegemea, ( nilimaliza chuo nikarud home) hadi mda huu, nina maisha yangu mazuri angalu namshukuru Mungu kwa kusimamia maamuzi yangu,

Kwahyo mtoa Uzi kama una kaz angalau inakuingizia kipato we move on mengine yatajiset mbele huko.

Am on the way..
 
Ni wazo zuri na linawezekana muombe Mungu akusaidie, mshirikishe Mjomba wako ili amani izidi kutawala maisha yenu.
 
Back
Top Bottom