Nimekua, natamani kujitegemea

Nimekua, natamani kujitegemea

duuh!! hili pango LA nyasi au?? sio kwa kodi hiyo kwa mwezi 4500!! wakat wengine tunalipa 60000 kwa mwezi....
MIMI ND'O NIMETOKA KULIPA PANGO YA MIEZI MITATU LEO ELFU 13,500/=,
NA KUNUNUA BAKULI 1, VIKOMBE VIWILI NA SAHANI 2 ZA PLASTIKI ZA KUANZIA.

Sent using Jamii Forums mobile app

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Wakuu habari za mwaka 2020 sina budi kumshukuru Mungu kwa kuuona tena mwaka mwingine na nawatakia maisha mema na maendeleo.

Niingie moja kwa moja kunako maada yangu wapendwa

Kwa sasa nina miaka 24 sijaoa bado toka 2018 mwezi wa 09 nimetoka nyumbani maeneo ya Sengerema nimekuja Mwanza.

Nilipofika nilifikia kwa ndugu yangu ambaye ni kama mdogo wangu maana namzidi umri kati ya miaka 2.

Nimekaa pale kama miezi 3 baada ya hapo nilienda kwa mjomba wangu ambaye nae yupo huku Mwanza. Nimeishi kuanzia mwezi wa 11-2018 na mpaka sasa hii 2020 nipo kwake.

Napiga harakati ndogo ndogo kujipatia hela ya matumizi na kuna wakati napiga naye ishu za kazi.

CHANGAMOTO YANGU KUBWA

Natamani na mimi nijitegemee; maana yake nipange geto langu nianzishe maisha yangu kama kijana. Hadi nahisi aibu muda wote kuishi bila wazo lolote ambalo litasababisha changamoto ya kujikwamua katika maisha.

Na kama mnavyojua changamoto ya kuishi kwa mtu yapasa uvumilivu, na kingine ambacho naogopa ni kuhusu hofu ya kwamba maisha ya geto ntayaweza nikiwa mwenyewe? Labda siku nikikosa ramani ya pesa itakiwaje?

Lakini wazo la kutoka hapa kwa mjomba bado sijamshirikisha nimepanga nikipata pesa ya kununua godoro na pesa ya pango la miezi mitatu ya kianzio ndiyo namtaarifu kuhusu hili.

Nimepanga mwezi wa tano niwe nishatoka hap kwa uncle na sitaki kurudi sahizi kijijini nataka nipambane kama kijana kabla sijaoa.

NATAMANI SANA USHAURI WENU WAKUU. JE, NIPO SAHIHI KWA MAAMUZI NINAYO TAKA KUCHUKUA MWAKA HUU 2020?

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha woga wa kuwa ukiwa mwenyewe na siku ukakosa pesa itakuwaje... mawazo ya aina hiyo yanakutengenezea sio tu uwoga bali uvivu na hali ya kutokuthubutu...

Yes ukiwa unakaa mwenyewe kuna siku utakosa pesa ya kula au kodi lakini.. hapo ndio ule msemo wa "when the Going is get tough the Tough is get going" unapofanya kazi. Akili itafanya kazi jinsi ya kuipangua hiyo shida hapo ulipo pamoja ya kuwa una wazo la kujitegemea, lakini Akili yako bado haikupi ushirikiano iko “at easy” sababu kuna mambo ya msingi huyafikiri kwa sasa kama kula na kulala, kwani unajua hivyo vipo kwa mjomba utakapo kaa kwako na ukaamka asubuh huna hata mia ndo utaona akili itakavyofanya kazi. Akili itakuwa busy kias hata mwanamke mrembo akuwa mtupu mbele yako wala hudindi. Maana unakuwa “ unamuona ila humtazami”

Mwisho mimi ni mkristo moja kati ya vitu nimejiaminisha Ni kuwa Mungu hakupi changamoto usiyoweza kuimudu na Mungu hakupi fanikio lolote bila ww kuanza hatua ya kwanza maana anajua alishakuwezesha kwa kukufanya mkamilifu wa mwili na akili so the ball is in your court. Jaribu lolote lile uone kama mungu hataweka mkono wake ili mradi liwe la halali kwenye roho yako na Mungu wako.

Some times you have to think how to cross the Bridge when your reach.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu habari za mwaka 2020 sina budi kumshukuru Mungu kwa kuuona tena mwaka mwingine na nawatakia maisha mema na maendeleo.

Niingie moja kwa moja kunako maada yangu wapendwa

Kwa sasa nina miaka 24 sijaoa bado toka 2018 mwezi wa 09 nimetoka nyumbani maeneo ya Sengerema nimekuja Mwanza.

Nilipofika nilifikia kwa ndugu yangu ambaye ni kama mdogo wangu maana namzidi umri kati ya miaka 2.

Nimekaa pale kama miezi 3 baada ya hapo nilienda kwa mjomba wangu ambaye nae yupo huku Mwanza. Nimeishi kuanzia mwezi wa 11-2018 na mpaka sasa hii 2020 nipo kwake.

Napiga harakati ndogo ndogo kujipatia hela ya matumizi na kuna wakati napiga naye ishu za kazi.

CHANGAMOTO YANGU KUBWA

Natamani na mimi nijitegemee; maana yake nipange geto langu nianzishe maisha yangu kama kijana. Hadi nahisi aibu muda wote kuishi bila wazo lolote ambalo litasababisha changamoto ya kujikwamua katika maisha.

Na kama mnavyojua changamoto ya kuishi kwa mtu yapasa uvumilivu, na kingine ambacho naogopa ni kuhusu hofu ya kwamba maisha ya geto ntayaweza nikiwa mwenyewe? Labda siku nikikosa ramani ya pesa itakiwaje?

Lakini wazo la kutoka hapa kwa mjomba bado sijamshirikisha nimepanga nikipata pesa ya kununua godoro na pesa ya pango la miezi mitatu ya kianzio ndiyo namtaarifu kuhusu hili.

Nimepanga mwezi wa tano niwe nishatoka hap kwa uncle na sitaki kurudi sahizi kijijini nataka nipambane kama kijana kabla sijaoa.

NATAMANI SANA USHAURI WENU WAKUU. JE, NIPO SAHIHI KWA MAAMUZI NINAYO TAKA KUCHUKUA MWAKA HUU 2020?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu maisha ya kujitegemea yanahitaji moyo sana kama huna seehhemu ya uhakika wa kupata pesa lakini kama unachanel ya kupata hata pesa ndogo ndogo yaani at least hata kwa siku kama unaweza kuingiza 6000 sio mbaya lakini pia inategemea na seehhemu unayoishi kama unaweza kupata pango zuri kiasi hata kuleta demu sio noma yaani LA kuanzia sh. 25000-30000 kwa mwezi kwenye swala la kodi haliwez kuwa shida kwa kuwa kwa mwezi utakuwa na uwezo wa kuingiza around 132000 hapo nimeondoa jumamos na jumapili kama utakuwa upo mapumziko.

so unaweza ukaona pesa yako ya mwez ukitoa kodi ya mwezi mmoja unabikiwa na kama kilo nzima....kwa ushauri nunua jiko LA gesi ndogo then nunua mchele, unga uwe unajipikia, maisha ya kununua chakula kila siku yatakugharimu ikiwezekana unapika chakula kingi unabeba kabisa unaenda nacho kwenye maeneo ya kazi au kama unaweza kujibana angalau kwa siku usinunue chakula kwa gharama ya zaidi ya sh. 2000.

Pia sio lazima kila siku ule vizur unaweza ukapika wali na ukakatia na kachumbar kama mboga maisha ya kaenda cha msingi kushiba mengine hayo mbwembwe tu!!

Maisha ya kujitegemea ni mazuri sana kwani unakuwa unawapunguzia mzigo wengine hapo unaweza ukawa unaoana ndugu wanakuchukulia poa lakini moyoni mwao wanataman uondoke haraka sana!! unawaongezea gharama tu!! So kijana its better kwa umri huo usepe tu....

mm nimeanza kujitegemea 2017 baada ya kumaliza tu chuo na uzuri nilipata seehhemu ya kujishikiza nikawa napata 300k kwa ingawa nilianza kuishi kwa MTU kama mwezi mmoja hivi nikisubiria nilipwe then nitafute chumba niondoke kwa kuwa jamaa mwenyewe alishanichoka kwani nilikuwa kama nambana!!!

Na nakumbuka niliishia kulipia chumba miez 3, gharama ya chumba ilikuwa 50000 kwa mwez wakat huo, nikanunua jiko la gesi, sahani, sufuria, mchele, sukari, mashuka, pazia, mfagio wa ndani, mkeka kwa ajili ya kulalia maana pesa ilikuwa haitoshi kununua godoro kwa muda huo... lakini baada ya miez mitatu mbele nikawa nimenunua kitanda na godoro na nikawa nauwezo wakukaribisha manzi geto.....

kama kipato chako kidogo usijali, jipange tu mdogo mdogo na mwisho wa siku utakamilisha kila kitu....

NAKUTAKIA SAFARI NJEMA YA KUJITEGEMEA

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Tena umechelewa sana.... nikitoka kwa mlezi wangu nilipomaliza kidato cha 4, nilienda kidato cha 5 na kuendelea nikiwa najitegemea....

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap ni kweli mkuu lakini inategemea na kianzio cha pesa tayari ulikuwa nacho, hata mi pia ningekuwa na hata tsh 150000 ,chap sana ningetoka hata mwezi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha woga wa kuwa ukiwa mwenyewe na siku ukakosa pesa itakuwaje... mawazo ya aina hiyi yanakutengenezea sio tu uwoga bali uvivu na haki
Ya kutokuthubutu...

Yes ukiwa unakaa mwenyewe kuna siku utakosa pesa ya kula au kodi lakini.. hapo ndio uke msemo wa when the Going is get tough the Tough is get going. Akili itafanya kazi jinsi ya kuipangua hiyo shida hapo ulipo pamoja ya kuwa una wazo la kujitegemea Akili yako bado haikupi ushirikiano iko “at easy” sababu kuna mambo ya msingi huyafikiri kwa sasa kama kula na kulala kwani unajua hivyo vipo kwa mjomba utakapo kaa kwako na ukaamka asubuh huna hata mia ndo utaona akili itakavyofanya kazi. Akili itakuwa busy kias hata mwanamke mrembo akuwa mtupu mbele yako wala hudindi. Maana unakuwa “ unamuona ila humtazami”

Mwisho mimi ni mkristo moja kati ya vitu nimejiaminisha Ni kuwa Mungu hakupi changamoto usiyoweza kuimudu na Mungu hakupi fanikio lolote bila ww kuanza hatua ya kwanza maana anajua alishakuwezesha kwa kukufanya mkamilifu wa mwili na akili so the ball is in your court. Jaribu lolote lile uone kama mungu hataweka mkono wake ili mradi liwe la halali kwenye roho yako na Mungu wako.

Some times you have to think how to cross the Bridge when your reach.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Aisee wapendwa ushauri wenu unazidi kunijenga kiimani na kimwili mpaka sasa nimeshaamini ntaweza na hakuna kitakacho shindikana katk maisha yangu kwa maana MUNGU hatoniacha niangamie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kuna siku uncle alishawahi kuniambia kuwa eti kuna nyumba ya bure ipo imepatikana nikaishi yaani niwe kama nairinda kwa sababu wenye nyumba hiyo hawapo kwa sasa na ni nyumba ambayo ni mpya, siku hiyo nikawaza nikajisemea moyoni hawa wanamaana ya kunitaka nihame ila nilinyamaza lakin roho iliniuma, na kuna mengi tu yapasa kunyamaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha woga wa kuwa ukiwa mwenyewe na siku ukakosa pesa itakuwaje... mawazo ya aina hiyi yanakutengenezea sio tu uwoga bali uvivu na haki
Ya kutokuthubutu...

Yes ukiwa unakaa mwenyewe kuna siku utakosa pesa ya kula au kodi lakini.. hapo ndio uke msemo wa when the Going is get tough the Tough is get going. Akili itafanya kazi jinsi ya kuipangua hiyo shida hapo ulipo pamoja ya kuwa una wazo la kujitegemea Akili yako bado haikupi ushirikiano iko “at easy” sababu kuna mambo ya msingi huyafikiri kwa sasa kama kula na kulala kwani unajua hivyo vipo kwa mjomba utakapo kaa kwako na ukaamka asubuh huna hata mia ndo utaona akili itakavyofanya kazi. Akili itakuwa busy kias hata mwanamke mrembo akuwa mtupu mbele yako wala hudindi. Maana unakuwa “ unamuona ila humtazami”

Mwisho mimi ni mkristo moja kati ya vitu nimejiaminisha Ni kuwa Mungu hakupi changamoto usiyoweza kuimudu na Mungu hakupi fanikio lolote bila ww kuanza hatua ya kwanza maana anajua alishakuwezesha kwa kukufanya mkamilifu wa mwili na akili so the ball is in your court. Jaribu lolote lile uone kama mungu hataweka mkono wake ili mradi liwe la halali kwenye roho yako na Mungu wako.

Some times you have to think how to cross the Bridge when your reach.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Good

kelphin kepph
 
Mkuu nililala apo miezi mitatu...kazana utafanikiwa
IMG-20190523-WA0029.jpeg

kelphin kepph
 
mkuu maisha ya kujitegemea yanahitaji moyo sana kama huna seehhemu ya uhakika wa kupata pesa lakini kama unachanel ya kupata hata pesa ndogo ndogo yaani at least hata kwa siku kama unaweza kuingiza 6000 sio mbaya lakini pia inategemea na seehhemu unayoishi kama unaweza kupata pango zuri kiasi hata kuleta demu sio noma yaani LA kuanzia sh. 25000-30000 kwa mwezi kwenye swala la kodi haliwez kuwa shida kwa kuwa kwa mwezi utakuwa na uwezo wa kuingiza around 132000 hapo nimeondoa jumamos na jumapili kama utakuwa upo mapumziko.

so unaweza ukaona pesa yako ya mwez ukitoa kodi ya mwezi mmoja unabikiwa na kama kilo nzima....kwa ushauri nunua jiko LA gesi ndogo then nunua mchele, unga uwe unajipikia, maisha ya kununua chakula kila siku yatakugharimu ikiwezekana unapika chakula kingi unabeba kabisa unaenda nacho kwenye maeneo ya kazi au kama unaweza kujibana angalau kwa siku usinunue chakula kwa gharama ya zaidi ya sh. 2000.

Pia sio lazima kila siku ule vizur unaweza ukapika wali na ukakatia na kachumbar kama mboga maisha ya kaenda cha msingi kushiba mengine hayo mbwembwe tu!!

Maisha ya kujitegemea ni mazuri sana kwani unakuwa unawapunguzia mzigo wengine hapo unaweza ukawa unaoana ndugu wanakuchukulia poa lakini moyoni mwao wanataman uondoke haraka sana!! unawaongezea gharama tu!! So kijana its better kwa umri huo usepe tu....

mm nimeanza kujitegemea 2017 baada ya kumaliza tu chuo na uzuri nilipata seehhemu ya kujishikiza nikawa napata 300k kwa ingawa nilianza kuishi kwa MTU kama mwezi mmoja hivi nikisubiria nilipwe then nitafute chumba niondoke kwa kuwa jamaa mwenyewe alishanichoka kwani nilikuwa kama nambana!!!

Na nakumbuka niliishia kulipia chumba miez 3, gharama ya chumba ilikuwa 50000 kwa mwez wakat huo, nikanunua jiko la gesi, sahani, sufuria, mchele, sukari, mashuka, pazia, mfagio wa ndani, mkeka kwa ajili ya kulalia maana pesa ilikuwa haitoshi kununua godoro kwa muda huo... lakini baada ya miez mitatu mbele nikawa nimenunua kitanda na godoro na nikawa nauwezo wakukaribisha manzi geto.....

kama kipato chako kidogo usijali, jipange tu mdogo mdogo na mwisho wa siku utakamilisha kila kitu....

NAKUTAKIA SAFARI NJEMA YA KUJITEGEMEA

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
Mungu naomba na mimi anisaidie niweze kukamilisha malengo yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom