NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
- Thread starter
-
- #101
Mkuu wasi wasi wangu ndio huo,na sababu ya kusema sitaki waowane hata upande wa mume wangu wana tradition kama yetu,sasa sitaki itokeee najua hakuna alie ona kesho ila staki nione hivi vitu vinajirudia...Makosa yapi unazungumzia? shemeji na mdogo wako hawana undugu wa damu, right?
Na kwa mujibu wa mada yako, reason pekee uliyotoa ni hofu ya uwezekano wa watoto wenu (ambao bado hata hawajazaliwa) kuja kuoana badae, kufuata family tradition ambayo tayari ulishaivunja. Najaribu kukuelewa bila mafanikio.
...hahahaha
..acha maskhara,
.zimekaaje hizo possibilities?(natumai waelewa unachokizungumzia)
Unajua kwenye hizi familia za kiarabu kunakuwaga na wototo wengi wenye natatizo ya akili ,wanaitwa mandondocha na watu wengi wanaishia kufikiri kwamba wamewatumia kishirikina ili kupata mali,Hakuna lolote shida yao kubwa inaanziaga hapo. Kuona ndugu kwa ndugu.!
Sijasema uongo na siwezi kuwasingizia!
Nimeishi na wakurya mda mrefu na Shemeji zangu kabisa!!
najua nini nasema na nina uhakika
anyway sikulazimishi uamini kile ambacho nimekiandika!Asee we jamaa akili zako ni bure wakurya Wa wapi hao wanaowana ndugu kwa ndugu acha uongo Mimi ni mkurya hicho kitu hakipo
Hilo swali halijibu! limeulizwa toka mwanzo kabisa!Unataka kuniambia too a moment huyo shemeji yako hajamla kweli?
If hiyo ni fact kwanini wasiwe huru kuoana hasa ukizingatia ndoa ni makubaliano ya watu wawili walioridhiana?Hilo swali halijibu! limeulizwa toka mwanzo kabisa!
Kitu ambacho nafikiri hakiwezekani wawe hawajawahi kuonjana mpaka watake kuoana!
Mkuu wasi wasi wangu ndio huo,na sababu ya kusema sitaki waowane hata upande wa mume wangu wana tradition kama yetu,sasa sitaki itokeee najua hakuna alie ona kesho ila staki nione hivi vitu vinajirudia...
kama na kwa mume kuna tabia izo za kuoana basi uko sahihi kabisa kupinga hili, simamia kwenye hilo na utafanikiwaMkuu mume wangu Kwao wanatabia kama za kwtu ila sio kivile ila wanapenda sana kuowana familia,hilo mimi silikubali hata iweje najaribu sana kulipinga,mkuu laitani ungekua unaona family wanapokua wanagombana kisa kila mtu anamtetea mwanawe unakua ugomvi sio wa mke na mume nawa ndugu,sipendi kuona hivyo,na pili unakuta huyu ana pumu mara yule ana sijui nini hua sipendi,wanasema najitia mzungu ila ni sawa waseme tuu wanapokwenda hospital dr akisema wanaanza kutukana mpaka ma dr sasa ntajitahidi kwa huyu na inshallah ntaweza..
Funga hoja muulize mdogo wako anampenda shemeji
Inawezekana yuko in love ukasababisha maumivu
Pia kwakuwa wewe mkubwa na unajali kesho yake basi mwambie atafute mume mwingine hata mie sipendezwi ndugu wakioana mana ugomvi wa ndoa unakuwa wa ukoo mzima na kujazana chuki + kutafutana uchawi
...huyo kaleta porojo tu hana uthibitisho wa kisayansi,
sasa unaomba ushauri wa nini wakati umeshaamua mkuu?Sidhani kama ni sawa nna sababu nyingi sana za kukata,aolewe na mtu mwengine ila sio shemeji yangu hatuwezi kuolewa na familia moja..
Wapo walio nielewa sababu ya kuomba ushauri mkuu,hua sio wote wana upeo wakuona sababu...sasa unaomba ushauri wa nini wakati umeshaamua mkuu?
siwezi ila kwa huyu wangu mimi sababau nna mmudu na ni bora kwa afya ya vizazi vyetu ntajitahidi anielewe na inshallah atanilewa japo itamchukua mda..Duh! Okay. Tuseme shemeji na mdogo wako wakaheshimu maamuzi yako na kutafuta wenza wengine na kuanzisha nao familia, utazuia vipi watoto wao wakija kuoana na wanao? Au hiyo haitakuwa na madhara makubwa?
Ahsante Sonia kwa kunielewa,kwani humu kuna wengine wanasoma kwa ajili yakujibu,hawasomi wakaelewa nini naomanisha, ila its okay linapo mkuta mwenzio wengi hawalioni lina maana mpaka liwakute ndio wajue...Funga hoja muulize mdogo wako anampenda shemeji
Inawezekana yuko in love ukasababisha maumivu
Pia kwakuwa wewe mkubwa na unajali kesho yake basi mwambie atafute mume mwingine hata mie sipendezwi ndugu wakioana mana ugomvi wa ndoa unakuwa wa ukoo mzima na kujazana chuki + kutafutana uchawi
Wahindi gani jamani mkuu...watakuwa wahindi hawa, ila kuoana ndugu kwa ndugu, sisi wabantu ugonvi wake syo wa hapa, na kuzuia hili kuna logic ...