Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,879
- 155,845
Baadaye tukashauriana na wife kama kuna chumba cha bure ya nini tupoteze pesa kwenda kupanga.basi tukaendelea na utaratibu wa kuzaa na tunashukuru mungu sasa tuna watoto watatu.
Nikafanya kazi kwa wahindi hawa mshahara wakawa sometime wanalipa tarehe 1 au 2
Hayo malalamiko ni kutoka kwa bwana mdogo mmoja nlimtangulia shule kwa sasa nadhani ana miaka kati ya 40-43
Nadhani humaanishi Mshana Jr mwasherati huyu atamtafunia mke, mama mkwe,mashemeji na akikaa vibaya dogo ataliwa mpaka line yake ambayo haijasajiliwaKuna mganga mzuri anaweza kuwaroga wakwe zako wakawa mandondocha wako, wakatii kila usemalo, na wakakuogopa utadhani wee ndio boss wao
Haha hahah hahah hah nyie watani wa jadi mnajuana kwa vilembaNadhani humaanishi Mshana Jr mwasherati huyu atamtafunia mke, mama mkwe,mashemeji na akikaa vibaya dogo ataliwa mpaka line yake ambayo haijasajiliwa