Nimekosa usingizi kabisa kwa haya nayosikia toka kwa wakwe zangu muda huu

Mwanaume mzima na akili zako timamu huoni aibu kusema unaishi kwa wakwe, wewe umeoa au umeolewa?
 
"Bro, duniani kuna watu wana roho mbaya sana.Usiku huu nmeshtuka usingizini nawasikia wakwe wanazungumza chumbani kwao kuwa mimi nitakaa kwao na mke wangu mpaka lini.

Hilo limeniuma sana maana hawa ni kama wazazi kwanini wanakuwa na roho mbaya hivyo. Nimemuoa binti yao mwaka 2015 wakatupa room hapa kwao wakati huo sisi tunatafuta nyumba ya kupanga.

Baadaye tukashauriana na wife kama kuna chumba cha bure ya nini tupoteze pesa kwenda kupanga.Basi tukaendelea na utaratibu wa kuzaa na tunashukuru Mungu sasa tuna watoto watatu.

Tunaishi hapa na kula hapa.Mshahara wa mke wangu huwa ananipa unisaidie saidie nami niweze fanya mambo yangu maana nilikuwa nafanya kazi na washenzi fulani wakawa wanataka wanitumie mpaka weekend nikaona udwanzi nikaachana nao.

Nikafanya kazi kwa wahindi hawa mshahara wakawa sometime wanalipa tarehe 1 au 2. Nikaona siyo waaminifu nikaachana nao.Toka mwaka jana mwezi wa saba nakuwa tu home kucheza na watoto.

Sasa nimeshtuka wakwe wanajadiliana eti nitakaa kwao hadi lini? Mzee ndo anaonekana ana-mind mama mkwe anasema nipewe muda kidogo. Nimesikitika hawa wakwe hawana utu kabisa.

Mtu nimewaletea na wajukuu hapa hapa kwao bado hawana shukrani? Hizi ni roho mbaya za kishetani kabisa.Wanataka eti tukapange anafikiri pesa inapatikana kirahisi tu?

Mke amelala fofofo hata hajayasikia haya nawaza nimwamshe ashuhudie mipangao ya baba yake kutaka kututimua hapa home au nimwache tu? Inaumiza sana halafu wao hawajui kuwa nawasikia sababu sasa hivi ni usiku na dirisha sijafunga.

Usingizi wote umepeperuka kwa hili jambo mpaka nawaza labda nirudi tu nikaishi na mama yangu home kwake maana haya mambo ya namna hii sikutegemea kabisa.

Bro usiombe kuoa kwa wakwe kama hawa watakunyanyasa bila sababu."

Hayo malalamiko ni kutoka kwa bwana mdogo mmoja nlimtangulia shule kwa sasa nadhani ana miaka kati ya 40-43

CHAI YA RANGI HII
 
Kweli wee chizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ivyo una moyo huoni aibu kwel had watoto 3 uko kwa wakwe,ukitoka ndio mtaendelea kama hujui

Dah watu wengine sijui vp yani tena unamind mpaka unasema ni mawazo ya kishetani. Ondoka Kwan kwako hapo tena ushukuru Kwa fadhila ya mda uliopewa
Wewe uko ukweni umezaa na watoto hapo na bado unaona una haki ya kuendelea kuwepo hapo Kama sio ujuha ni nini ndo mana mkeo anapata usingiz coz ni kwao
 
Back
Top Bottom