Nimekosa point moja kuapply degree nifanye nini?

Acha defence mechanism ,kama hakucheza darasani alifanya nini? Kwa nini afeli? Kama alijua ni kilaza si angefanya mambo mengine.Mfumo,mfumo,mfumo umefanya nini?
Akili yako ndi ndogo sana naamini hata wewe ni kati ya walio feli maana umekalili jambo moja tu na hutaki kutanua akili yako nje ya box , sababu za mtu kufeli zipo nyingi sana si hiyo more ja unayo ijua wewe na kudhani ndisababu pekee ,kwa mtu aliye soma bila kuungaunga anaelewa vyema sana ninacho maanisha.hiyo yako ni sababu pia lakin si kila aliye feli kapitia sababu hiyo yako,hebu extend akili yako kidogo mkuu kufikiria hatua zaid ya moja.

Then sina haja ya Ku defend chochote maana mimi hata shule sikusoma ila naongea uhalisia wa mambo pasipo kuegemea upande wowote na si hisia wala mhemko sina ubinafsi kwa vile nikipata siwacheki na kuwadharau walio kosa maana kila mtu ana njia yake na wakati wake wa kupata tena zaid kuliko nilicho pata mimi na ndio maisha yalivyo.
 
Usinichoshe bana,alicheza darasani bana ,acha kuzingua.
 
Brother umejitahid kutuelewesha wote nashukuru sana , mtu mwenye elimu hapimwi kwa kuwaponda wenzake humu Ila mwenye elimu hupimwa kwa mawazo, maamuzi , mafanikio na hekima alionayo. I appriciate
 
Back
Top Bottom