Nimekosa point moja kuapply degree nifanye nini?

Nina div 3 ya 14 ambayo kwa miaka iliyopita wengi wapo chuo na uhakika wa kufaulu nikiresit ninao Ila tatizo ni kwamba sina historia ya mtu aliewahi kuresit masomo haya akafanikiwa , nimeanza diploma ambayo ni miaka mitatu
Tunavyojua diploma ni miaka 2 , level 5&6, hiyo miaka 3 itakuwa pamoja na bacic certificate. Kwan umemaliza ln 6?
 
Na mi pia ni mwanafunzi nimemaliza mwakahuu 4m 6 nimekosa point moja pcm kama Huyo nasoma kozi ya afya kutokana na ushauri diploma ya ufundi nackia ni shida upande wa ajira na kuna ugumu kidogo biology niliiacha tangu 4m 2 we unasoma nn diploma??? oyy mkuu toa namba tuongee zaid tupeane ushauri mi mwenyewe ckutaka kuanza certificate kwani kuna mwanafunzi 4m 6 mwaka huu alieanza diploma hakuanz certificate na hakuna mtu alikuwa na lengo la kufeli kuna sababu mwenye ushauri zaid
 
Tuwasiliane +255673240040
 
Nenda VETA. Kule hutakosa ajira. Unaweza ngangania degree ukaishia kutembea na cheti mtaani mpaka kikachoka
 
Kwa viwango hivi vya Ndalichako usitarajie mwakani. Kwa kuwa sayansi mna soko we ingia Dip upige Sayansi, ukifika huko usome kwa bidii upate GPA ya kuanzia 3.5 ya kuingia chuo direct maana mwaka huu wa Dip waliwekewa kigezo cha 3.5 kisha wakashusha 3.0 lakini tunakoelekea itafika 3.5.
 
Sure nipo diploma kwa sasa
 
ndugu kutoka 4m6 na kuanzia diploma maja kwa moja inategemea na koz husika unayotaka
kusomea
kwa

mfao koz zote za uandisi lazma uanzie nta level 4 to 6 so miaka mitatu inakuhusu ha
po
ila kwa wale wa koz zingine za social science kama za biashara ukitoka 4m6 na kwa ufaulu huo ndo unzia diploma
 
Acha defence mechanism ,kama hakucheza darasani alifanya nini? Kwa nini afeli? Kama alijua ni kilaza si angefanya mambo mengine.Mfumo,mfumo,mfumo umefanya nini?
Tatizo akili yako bado finyu kuelewa hujui tatizo nililopata mpaka matokeo kuwa hivyo ,tafakari sio kukurupuka na kucoment post zisizokuhusu
 
Back
Top Bottom