Nimekosa point moja kuapply degree nifanye nini?

Dec 22, 2016
25
45
Mimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha sita 2016 ila nilikosa alama D moja katika mchepuo niluokua nikiuchukua PCM , NIFANYE NINI KUTOAPLY DIPLOMA ?? Nimefika chuo inanilazimu nianze level 4
Nategemea ushaur mzuri ,... Asanteni
 
demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,407
2,000

Ngoja January....

Vijana wengi wa Kitanzania, baada ya kukosa nafasi hapa Bongo(kutokana na viwango vipya vya ufaulu) wengi wamejuinga na vyuo vya Makerere University (Uganda) na wengine wako Kenyatta University (Kenya)....

January kuna Intake mpya huko Kenya fanya kufuatilia ili upate nafasi huko.... Hapa Bongo na serikali hii ya Maigizo usitarajie mapya.
 
balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
5,033
2,000
NTA level 4 hivi ni certificate au ni pre-certificate au ni auxiliary course?
 
Dec 22, 2016
25
45

Ngoja January....

Vijana wengi wa Kitanzania, baada ya kukosa nafasi hapa Bongo(kutokana na viwango vipya vya ufaulu) wengi wamejuinga na vyuo vya Makerere University (Uganda) na wengine wako Kenyatta University (Kenya)....

January kuna Intake mpya huko Kenya fanya kufuatilia ili upate nafasi huko.... Hapa Bongo na serikali hii ya Maigizo usitarajie mapya.
Nimefikiri hivyo pia Ila tatizo linakuja kwenye uchaguzi wa masomo ambayo nitaweza kujiajiri
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,963
2,000
Umependa uanze Certificate ama wamekupangia wao?

Kama una Principle moja na Subsidiary moja basi wewe ungepaswa uanze na Diploma moja kwa moja.

Kama upo tayari kureseat mtihani wa Form Six na unaamini utafaulu basi Go Ahead. Kafanye mtihani na mwakani utazama Chuo.
 
Nina div 3 ya 14 ambayo kwa miaka iliyopita wengi wapo chuo na uhakika wa kufaulu nikiresit ninao Ila tatizo ni kwamba sina historia ya mtu aliewahi kuresit masomo haya akafanikiwa , nimeanza diploma ambayo ni miaka mitatu
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
8,757
2,000
Mimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha sita 2016 ila nilikosa alama D moja katika mchepuo niluokua nikiuchukua PCM , NIFANYE NINI KUTOAPLY DIPLOMA ?? Nimefika chuo inanilazimu nianze level 4
Nategemea ushaur mzuri ,... Asanteni
Dogo acha kuzingua,ulicheza darasani ukafeli,nenda kare sitt
 
ngudengude

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
1,178
1,500
Mimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha sita 2016 ila nilikosa alama D moja katika mchepuo niluokua nikiuchukua PCM , NIFANYE NINI KUTOAPLY DIPLOMA ?? Nimefika chuo inanilazimu nianze level 4
Nategemea ushaur mzuri ,... Asanteni
omba chuo hivohivo kuna uwezekano idadi isipotimia huwa wanashusha kiwango, pia omba na diploma ili ukikosa degree uanzie diploma
 
24hrs

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
2,599
2,000
subiri mwak wa masomo 2017/2018 kwa ajili ya degree viwango vimepunguzwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom