Nimekosa Imani na jeshi la POLISI

Hahaha,

Issue kama hzo hua tunaenda kufungua kesi, halafu unaendelea kufanya upelelezi mwenyewe, utakapo jua jamaa walipo unaenda kuchukua polisi waje wamkamate tu ndo utaona wanakuja kwa mbwembwe na mabunduki yao πŸ˜…
 
Amini Mungu pekee acha ushirikina gentleman na itapendeza zaidi πŸ’
 
Watu mna moyo aiseeπŸ˜‚

Nilichoshuhudia polisi siwezi kuibiwa nikajisumbua kupeleka taarifa

Mimi ulinzi wa mali zangu unalindwa na wananchi
Mungu na mganga kutoka sumbawanga
Polisi ya Tanzania utaishia kupoteza muda, mali nyingine
 
Uko sahihi kabisaa.
 
Pole,hizi pikipiki za kichina ukiibiwa kuipata ngumu
Unaweza shangaa inakupita hapo hapo machoni mwako
Ikibadilishwa tanki la mafuta na nembo utaikumbuka???

Ova
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo sio polisi shida ni CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…