Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,902
- 27,642
- Thread starter
- #61
Asante sana 🙏
Asante sana 🙏
Hilo dyudyu utalikata libakie hapo hapo au itakuwaje?Dyudyu yangu inaweza kukuziba
Sasa mara ngapi atakuwa anawatafutaga wengineCku iz amna kugandana mtakuja kujiua ama kuua bure, m2 asipoelewek ck 2 ujue ndo ushaachwa ivo, usimgande tafuta mwingine.
Kwa sasa sina mood 😔Daah nimetamani hata tupate mechi na wewe tutoe hata GG😂😂
Sawa, kwani wewe ni mwanasaikolojia, au ni mzoefu tu wa mapenzi?Kuhusu upumbavu wa mapenzi na namna ya kuzuia tatizo
Sawa, mimi nimeamua kuwaachia nyie wenye akili 👍Upumbavu wenu watu wawili ndo uje na ujinga eti tuachane?
Mahusiano ni kwa wenye akili tuu na Mungu kasema tuishi na wanawake kwa akili. Msipokuwa na akili tuacheni wenye akili.
Yafutwe ⛔🚫Mapenziiiiiiiiii 🙌🏾
Sawa, naenda kutoa fins zangu store.Binti wa zamani naandaa tour kwenda vietnam mwez wa nane katikati nikafanye marine tour and diving katika jiji la hanoi pale kuna fukwe ya "phu quoc" na "bai tu" tukirudi akili itakuwa imekukaa sawa sawa! na mapenzi hayatakutesa..
hanoi ni raha jamani hususan "pearl club" sijutii kukaa huko,,,
KARIBU UONJE UTAMU
Karibu sanaSawa, naenda kutoa fins zangu store.
Ngoja nije inbox tuyajenge.
yateketezwe kabisaYafutwe ⛔🚫
Mpwa katikati ya kilio, umenifanya nicheke mpaka nikae chini.Hivi huyu ndio yule anahadithiaga anavyoliwa!
Mnaosema mapenzi yalaaniwe msubiri kwanza, ndio nipo kwenye penzi jipya na mtoto wa elfu mbili na saba! Nyie mapenzi matamu balaa hasa ukute kitu og utamwaga mpaka ubongo.
na huyu kijana mwenye huba watu wa Tanga wanasubiri!🥹🥹🥹🙏Mapenzi yanavuruga mnao muuliza maswali mnakosea
Nilikua naye mmoja 💔Kuwa stable kwa mtu mmoja
We embu tafuta mtu ntombane tu Kila mtu abaki na shida zakeNimepatikana aiseeh, mapenzi ni upumbavu tu 💔❤️🩹, 2025 uwe mwaka wa mwisho wa mambo ya kupendana.
Kama ni lazima sana, basi tubaki na ngono tu kwa ajili ya kuzaliana ila mahusiano yasiwepo.
- Mapenzi ni ujinga
- Mapenzi ni mateso
- Mapenzi ni maumivu
- Mapenzi ni utapeli
- Mapenzi ni uhayawani
- Mapenzi ni ushen*i
- Mapenzi ni ufal*a
Mapenzi ni …………… Endeleza lako
Ila ?Nilikua naye mmoja 💔
Kwa sasa siwezi kuenjoy 💔Nipe mzigo huo midfielder kisheti nikutulize mawazo