Nimekoma mimi - Why mapenzi bado hayajafutwa?

Nimekoma mimi - Why mapenzi bado hayajafutwa?

Je kupendana ni lazima?

  • Hapana - Mapenzi yafutwe

    Votes: 14 40.0%
  • Ndiyo - Mapenzi yaendelee

    Votes: 23 65.7%

  • Total voters
    35
❤️‍🩹🤣😂 Nimejikuta nacheka, kauli hii si ngeni,
Jaribu na wengine ubadili, unaweza bahatika ukapata ulimi 😛 na mnyonyaji mzuri zaidi.
Ni maumivu makali sana 💔 😒😄
Kubadili mpaka kumpata huyo mwenye ulimi na unyonyaji mzuri ndiyo changamoto.

Acha nitulie tu kwa sasa ni-heal ❤️‍🩹
 
Nimepatikana aiseeh, mapenzi ni upumbavu tu 💔❤️‍🩹, 2025 uwe mwaka wa mwisho wa mambo ya kupendana.

Kama ni lazima sana, basi tubaki na ngono tu kwa ajili ya kuzaliana ila mahusiano yasiwepo.
  • Mapenzi ni ujinga
  • Mapenzi ni mateso
  • Mapenzi ni maumivu
  • Mapenzi ni utapeli
  • Mapenzi ni uhayawani
  • Mapenzi ni ushen*i
  • Mapenzi ni ufal*a

Mapenzi ni …………… Endeleza lako
🤣🤣🤣🤣🤣 Mapenzi ni muhimu ila kwa target maalum.. Angalizo usipende mtu ukazama mazima bila kujuwa unapata faida Gani katika huo muungano mwisho wa siku maumivu yake ndio hayo ila Leo hii huwezi kukuta mke wa mchezaji wa yanga alieuzwa pyramid akilia kisa kuachwa coz tayri katika huko kuachwa anakuwa mnufaika number 1 hata akiwa analia machozi yanangukia kwenye uskani wa v8
 
Ni maumivu makali sana 💔 😒😄
Kubadili mpaka kumpata huyo mwenye ulimi na unyonyaji mzuri ndiyo changamoto.

Acha nitulie tu kwa sasa ni-heal ❤️‍🩹
Sawa pona pona kwanza, nakuombea umbahatishe mwingine.

Hapo ndipo kwenye utofauti kati ya wanaume na wanawake.
Wanaume utamu tunao wenyewe, nyinyi utamu mnautegemea kutoka kwetu, na sisi ni wa kubahatisha saana..
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Mapenzi ni muhimu ila kwa target maalum.. Angalizo usipende mtu ukazama mazima bila kujuwa unapata faida Gani katika huo muungano mwisho wa siku maumivu yake ndio hayo ila Leo hii huwezi kukuta mke wa mchezaji wa yanga alieuzwa pyramid akilia kisa kuachwa coz tayri katika huko kuachwa anakuwa mnufaika number 1 hata akiwa analia machozi yanangukia kwenye uskani wa v8
Asante kwa somo, waione wanaotafuta tena mapenzi. Mimi nimekoma 😔
 
Njoo Pm nikwambie kitu mchumba wangu
giphy.gif
 
Back
Top Bottom