Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,902
- 27,639
- Thread starter
- #41
Sijahukumu 😒Acha kuhukumu ikiwa hujakutana na wote.
Sijahukumu 😒Acha kuhukumu ikiwa hujakutana na wote.
Ukitolewa hizo nyeg.e hutosema hivyoNimekoma mimi - Why mapenzi bado hayajafutwa?
Ndiyo nimeshawahi, sana tuHivi binti wa zamani umeshawahi kumwagwa maji kweli?
Njoo inbox tuongee vizuri hili jambo!.Sina hamu ya kupendwa tena 💔💔💔
Sina nyege kwa sasaUkitolewa hizo nyeg.e hutosema hivyo
Nije tuongee kuhusu nini 😔?Njoo inbox tuongee vizuri hili jambo!.
Kuwa huru kabisa. I mean no harm😁
Daah nimetamani hata tupate mechi na wewe tutoe hata GG😂😂Ndiyo nimeshawahi, sana tu
Nije tuongee kuhusu nini
Kuhusu upumbavu wa mapenzi na namna ya kuzuia tatizoNije tuongee kuhusu nini 😔?
Daah 💔💔💔Chukua mapenzi kama maswali unayopewa kwenye vitabu enzi za sekondari, kila ukimaliza topic kuna maswali..
Hvyo kukosa maswali kwenye topic iliyopita isikufanye uamini kuwa topic ijayo utakosea tena..
MAPENZI NI MATAMU LAKINI MAPENZI NI NYOKO UKIMONG'ONYOKA!
SitakiOkoka
Tabia gani 🙄?Ni shakwambia Acha hiyo tabia
Upumbavu wenu watu wawili ndo uje na ujinga eti tuachane?Nimepatikana aiseeh, mapenzi ni upumbavu tu 💔❤️🩹, 2025 uwe mwaka wa mwisho wa mambo ya kupendana.
Kama ni lazima sana, basi tubaki na ngono tu kwa ajili ya kuzaliana ila mahusiano yasiwepo.
⁸
- Mapenzi ni ujinga
- Mapenzi ni mateso
- Mapenzi ni maumivu
- Mapenzi ni utapeli
- Mapenzi ni uhayawani
- Mapenzi ni ushen*i
- Mapenzi ni ufal*a
Mapenzi ni …………… Endeleza lako
Marko 16:16Sitaki
Kabisa yani Mungu kasema hivyoUpumbavu wenu watu wawili ndo uje na ujinga eti tuachane?
Mahusiano ni kwa wenye akili tuu na Mungu kasema tuishi na wanawake kwa akili. Msipokuwa na akili tuacheni wenye akili.
Kuwa stable kwa mtu mmojaDaah 💔💔💔
Nifanyaje mapenzi yasiwe tena nyoko kwangu 😔?
Sawa, nitaanza kufanya hivyo 👍Cku iz amna kugandana mtakuja kujiua ama kuua bure, m2 asipoelewek ck 2 ujue ndo ushaachwa ivo, usimgande tafuta mwingine.
Nipe mzigo huo midfielder kisheti nikutulize mawazoTuliza kikojoleo hicho Lucha, usinitafute leo nimevurugwa!