REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,961
Kumbe na wewe ndio zako, subiri tu za mwizi arobaini, ukiiba vya watu jua siku itakuwa zamu yako kulipa fidia, usione vinapendeza vimegharamiwa.
fata yako
Kumbe na wewe ndio zako, subiri tu za mwizi arobaini, ukiiba vya watu jua siku itakuwa zamu yako kulipa fidia, usione vinapendeza vimegharamiwa.
Kwani yeye alipaka? Mchezo wa karata huu, unachotoa ndio unachopewa
Maninaaa kabisa wewe!
Hapa naona wachangiaji mnampondea mleta mada hivi sie wote tuko safi eeh..kumtishaa tisha namna hiyo ndo nini?
Kumbe eeh! Mbona wewe unanitokea na nshakuambia nina mume? Shoka la kiuno linakuhusu
Kaka, kukolea na kuchepuka ni tofauti bwana. Eboo! Paw akichepuka akitoka huko mbio anakuja na kuku wa kuchoma na dera la secky house of fashion. Ntastuka saa ngapi?
Kumbe eeh! Mbona wewe unanitokea na nshakuambia nina mume? Shoka la kiuno linakuhusu
Hahahahaaaaa, paw ataniona wapi yuko busy kupiga ban wana JF hadi anakuja home yuko hoi hajiwezi? Ila siyo SIRI KUCHAPIWA INAUMA! Yaani huyu jamaa nimesoma thread yake nikahisi nyongo imemwagika mwilini mwangu, waaaaaaaaaaaaaa na mapigo ya moyo yaka-double, adrenaline hormone imeshafanya kazi! We fikiria kababy kako kazuri unakapenda nikajakazito then anatokea mbwakoko anatia najisi hadi mtoto aliyetumboni!! Na anakuja kujitapa hadharani! Yaani ni bora ingekuwa siri yake moyoni, aiseeee!Kumbe eeh! Mbona wewe unanitokea na nshakuambia nina mume? Shoka la kiuno linakuhusu
Hapa naona wachangiaji mnampondea mleta mada hivi sie wote tuko safi eeh..kumtishaa tisha namna hiyo ndo nini?
Watu wanamtahadhalisha maana dunia imekwisha hii
Ndio na mashoka sijui
na manini...vip ushatoka.savoy lol
Yap.....nipo juu ya kifua cha mzee zaidi ya huyu ndugu yangu anayeogopa neema zangu Asprin
EEEEeee, e e e e e eti upo ju ju juuuuuuu ya nini/nani?Yap.....nipo juu ya kifua cha mzee zaidi ya huyu ndugu yangu anayeogopa neema zangu Asprin
Kama kawaida hunter nimeibua mke wa mtu, anavutia huyo, nimemuweka kwe sita kwa sita nikampeleka mwenyewe kakubali shughuli, ki ukweli mtoto wa kike kanikoleza ila tu ana ki mimba kama cha miez miwili, tulipo maliza shughuli akanambia "Lenin ngoja hili tumbo litoke nikupe mamboz kisawa sawa" wadau nisaidien ushauri kakolea nimekolea kaniahd makubwa tumbo likitoka
Wengi hatujui sheria za bongo zilivyo nzuri. Mwenye mali anaweza kuja na mundu ya kufyekea majani akakata kitendea kazi cha mleta hoja na kutupa halafu akashtakiwa kwa kujeruhi tu. Unaweza kukuta adhabu yake ni faini ya elfu 60 tu lakini kitendea kazi tayari kishaliwa na paka vichakani uko.