Nimekolewa na mke wa mtu jamani

Nimekolewa na mke wa mtu jamani

hivi mmeona alternative ya kumpunish huyo mtu ni kufanya upuuzi kama huo huku ni kusupport ushoga na kuupa promo kwa mgongo wa kufumania,very illeterate,akili zenu zinawaza tu sodomy,MMU wengi majinga tu
 
ukimzoea mke wa mtu unakuwa kama mlevi ukiendelea mwisho wa cku utakamatwa tu mie nakushauri uchomoke mapema tu kabla hujapokea hukumu.
 
Oya sikumalizia hii sentensi.....Oya njoo basi tule bata kama mpunga wakutosha!!

upo na nani hapo shemu sio nikaja kukazingua halafu usalama wangu maana maspy wasije wakaningoa meno
 
Kama kawaida hunter nimeibua mke wa mtu, anavutia huyo, nimemuweka kwe sita kwa sita nikampeleka mwenyewe kakubali shughuli, ki ukweli mtoto wa kike kanikoleza ila tu ana ki mimba kama cha miez miwili, tulipo maliza shughuli akanambia "Lenin ngoja hili tumbo litoke nikupe mamboz kisawa sawa" wadau nisaidien ushauri kakolea nimekolea kaniahd makubwa tumbo likitoka
Maninaaa kabisa wewe!
 
Una uhakika kwamba ukiachiwa huyo mke kwa sasa hautachepukia kwa mwingine?
Mke wa mtu mtamu akiwa kwa mmewe ila balaa ukikamatwa utajuta.
Ushauri wangu ni bora zaidi ukomae na vibinti ambavyo ni non attached wake wa watu noma.
 
Na mumewe akija kukolea kwako usishangae.

Labda hajaiyona ile ya kugongwa na shoka..... yeye na mpini utaingia kabisaaa
Kufanya kitu unachojua kibaya unajitengenezea jeneza mwenyewe pasi kujua.
 
Kama kawaida hunter nimeibua mke wa mtu, anavutia huyo, nimemuweka kwe sita kwa sita nikampeleka mwenyewe kakubali shughuli, ki ukweli mtoto wa kike kanikoleza ila tu ana ki mimba kama cha miez miwili, tulipo maliza shughuli akanambia "Lenin ngoja hili tumbo litoke nikupe mamboz kisawa sawa" wadau nisaidien ushauri kakolea nimekolea kaniahd makubwa tumbo likitoka

nyie ndo mnakojoa dagaa wa kigoma kwa tamaa zenu
 
endelea tu mkuu na ukifumuliwa tigo uje kuomba ushauri hapa jf
 
Kama kawaida hunter nimeibua mke wa mtu, anavutia huyo, nimemuweka kwe sita kwa sita nikampeleka mwenyewe kakubali shughuli, ki ukweli mtoto wa kike kanikoleza ila tu ana ki mimba kama cha miez miwili, tulipo maliza shughuli akanambia "Lenin ngoja hili tumbo litoke nikupe mamboz kisawa sawa" wadau nisaidien ushauri kakolea nimekolea kaniahd makubwa tumbo likitoka

Big up sana mkuu ila taarifa za vifo usisite kutujulisha pia
 
Back
Top Bottom