kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,896
Tigo yako vipi ipo fresh?
Wasioogopa wake za watu wengi ni mashoga so huyo jamaa hata akifumwa anajua atampa nini mwenye mke
Tigo yako vipi ipo fresh?
upo na nani hapo shemu sio nikaja kukazingua halafu usalama wangu maana maspy wasije wakaningoa meno
savoy sana tu,counter ya nje panahusika,jamaa kweli kawekeza.
daaah mi nipo hapa msasani nakula bata tu
Mfinanga hajambo? Hela ya field mshapewa vile? Au ndo unamchuna huyo mke wa mtuu?
Na mumewe akija kukolea kwako usishangae.
Huyo mke ni hasara tupu (kama simulizi yako ni ya ukweli).
Kama kawaida hunter nimeibua mke wa mtu, anavutia huyo, nimemuweka kwe sita kwa sita nikampeleka mwenyewe kakubali shughuli, ki ukweli mtoto wa kike kanikoleza ila tu ana ki mimba kama cha miez miwili, tulipo maliza shughuli akanambia "Lenin ngoja hili tumbo litoke nikupe mamboz kisawa sawa" wadau nisaidien ushauri kakolea nimekolea kaniahd makubwa tumbo likitoka
watu wengine matwako kweli khaa
upo na nani hapo shemu sio nikaja kukazingua halafu usalama wangu maana maspy wasije wakaningoa meno
Think BIG! You are going to be thinking anyway, so think BIG!Kama kawaida hunter nimeibua mke wa mtu, anavutia huyo, nimemuweka kwe sita kwa sita nikampeleka mwenyewe kakubali shughuli, ki ukweli mtoto wa kike kanikoleza ila tu ana ki mimba kama cha miez miwili, tulipo maliza shughuli akanambia "Lenin ngoja hili tumbo litoke nikupe mamboz kisawa sawa" wadau nisaidien ushauri kakolea nimekolea kaniahd makubwa tumbo likitoka
Msasani sehemu gani???
Shemu wako hana kukurupuka.....we njoo au huna usafiri hapo.