namlexink
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,434
- 945
Mweee... ntakukamata tu maana nilishakuhisi kitambo, afadhali umejisema mwizi wangu.Kama kawaida hunter nimeibua mke wa mtu, anavutia huyo, nimemuweka kwe sita kwa sita nikampeleka mwenyewe kakubali shughuli, ki ukweli mtoto wa kike kanikoleza ila tu ana ki mimba kama cha miez miwili, tulipo maliza shughuli akanambia "Lenin ngoja hili tumbo litoke nikupe mamboz kisawa sawa" wadau nisaidien ushauri kakolea nimekolea kaniahd makubwa tumbo likitoka