Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,661
- 9,966
Kiufupi nipo serious jamani, pia sina kazi. Elimu yangu ni kidato cha IV.
matokeo ya Mtihani yashatoka au bado? subiri yatoke ndo u-edit hoja yako
Kiufupi nipo serious jamani, pia sina kazi. Elimu yangu ni kidato cha IV.
ewaa! sasa sweet mi sina simu zaidi ya kutumia hii computa ya ofisini tu..........
halafu pia yumba nyingi nyingi zimepakwa ile rangi ile ya "part of Etisalat"
hivyo mazingira yanaridhisha kwa ujumla......
matokeo ya Mtihani yashatoka au bado? subiri yatoke ndo u-edit hoja yako
kama upi sas? mie nimekutajia wangu.
halafu hujasema umri wako mm ni miaka 22 na nataman kweli kuolewa.
Kiufupi nipo serious jamani, pia sina kazi. Elimu yangu ni kidato cha IV.
We jinga kweli....mke mwema anatoka kwa bwana na sio jf...
muelekeze mwenzio vizuri kwa bwana apate mke mwema
Basi sema "natafuta mwanamke wa kunilea"
Acha dhalau mapenzi hayajal elimu
Uwiiii, kazi ipo!!Au we ndo uli-fail ule mtihani wa form 4 mwaka jana?Vipi baada ya kuwaboost umeambulia hata div 4 ya 26?
Kirikou Wa Kwanza..... Umevunja kanuni ya adabu kwa Shemeji yako. Kima Mchanga ni Shemeji yako dam dam....... Usimseme kwa ukali......... UTANIKOSAToka zako hapa! Unampa nani namba fake?
Kirikou Wa Kwanza..... Umevunja kanuni ya adabu kwa Shemeji yako. Kima Mchanga ni Shemeji yako dam dam....... Usimseme kwa ukali......... UTANIKOSA
Aah, nisamehe mimi!