Halafu wewe jamaa jiangalie sana, usijifanye kuparamiaparamia wanawake wa watu, muda nipo nakuchek tu, chunga sana dogo.huko hakuna mapenzi, ni wizi mtupu.
Halafu wewe jamaa jiangalie sana, usijifanye kuparamiaparamia wanawake wa watu, muda nipo nakuchek tu, chunga sana dogo.
Nitakukubalije wakati siujui mfuko wako vizuri ewe mtz one?
Nawataka wote.
Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba
Nilikwambia tangu mwanzo mfanye siri unaona wapambe washaanza kukuharibia bahati yako.
Acha umbea.
Hiyo Methali au Kitendawili?
Kiufupi nipo serious jamani, pia sina kazi. Elimu yangu ni kidato cha IV.
We c umemaliza form four? Sasa hujui hcho n nn?
Kumaliza form 4; sio sababu.