Nimekimbia FB nimekuja JF.

umeona enh!
eti watu wananizushia eti me kibibi cha 72 kumbe ndo kwanza hedhi ya kwanza hii.
 
Nichukue mimi hapa.
Ninajua kila kitu hapa mjini.
Ila andaa hela za kununualia 'Obagi.

halafu wewe unantaka ubaya haya kulala mlango kisa riziki ya mwenzio kitu gani??
huyu ni shemeji yako atii tena ukome kabisa kujipitisha pitisha ebooh!
 
kama upi sas? mie nimekutajia wangu.
halafu hujasema umri wako mm ni miaka 22 na nataman kweli kuolewa.

Wewe unatafuta dhambi ya kubemenda mtoto wa watu... mna bahati huku ni MMU, ingekuwa kule jukwaani kwangu ningeku sue kwa kuhatarisha usalama wa kirikou......
 
Last edited by a moderator:
halafu wewe unantaka ubaya haya kulala mlango kisa riziki ya mwenzio kitu gani??
huyu ni shemeji yako atii tena ukome kabisa kujipitisha pitisha ebooh!

Hata kwenye maandiko wameandika......kizuri kula na ndugu yako.
Wewe ni ndugu yangu, basi sina budi kula sahani moja na wewe jamani.
 
Wewe unatafuta dhambi ya kubemenda mtoto wa watu... mna bahati huku ni MMU, ingekuwa kule jukwaani kwangu ningeku sue kwa kuhatarisha usalama wa kirikou......

acha wivu usinipeperushie kindegyeee changu.
 
Hata kwenye maandiko wameandika......kizuri kula na ndugu yako.
Wewe ni ndugu yangu, basi sina budi kula sahani moja na wewe jamani.

dah! wataka kuniambia atanichumbia mimi halafu
baba atamungezea na wewe kwamba nenda nao wote wawili??
sasa Kirikou Wa Kwanza anaogopa kuja nyumban kwetu manzese yeye kazoea maisha ya bahari bichi tunafanyaje??
 
Last edited by a moderator:
dah! wataka kuniambia atanichumbia mimi halafu
baba atamungezea na wewe kwamba nenda nao wote wawili??
sasa Kirikou Wa Kwanza anaogopa kuja nyumban kwetu manzese yeye kazoea maisha ya bahari bichi tunafanyaje??

Ewaaaaa......sasa hilo jukumu niachie mimi.
mlete huku ninapoishi angalau akae na mimi kwa miezi 6 nadhani baada ya hapo tutakuwa tumelipatia ufumbuzi hili suala.
Ila wivu marufuku.
 
ngoja kwanza nimuulize anataka nini??
eti sweet Kirikou Wa Kwanza utapenda kwenda kwa mdogo wangu tandale kwa mtogole nikiwa nafanya utaratibu wa kupata chumba maeneo ya kinondoni shamba?? jibu lako ndo utii wangu.
 
Last edited by a moderator:
ngoja kwanza nimuulize anataka nini??
eti sweet Kirikou Wa Kwanza utapenda kwenda kwa mdogo wangu tandale kwa mtogole nikiwa nafanya utaratibu wa kupata chumba maeneo ya kinondoni shamba?? jibu lako ndo utii wangu.

Mwambie pale kwa Mtogole siku hizi pamewekwa lami, hivo asiogope.
 
oh! karibu sana sana haya sema
mm nipo hapa toka mwaka jana natafuta kijana wa kunioa lakini sijampata.
niambaie kwanza elimu, kazi na umri

Ndimi Bazazi!
Nakusalimu;
Habarri za siku
Habari za Kibaha;
Habari za watoto wa shule;
Chaki zinasemaje
Je bado mna bifu na serikali?
Hasa baada ya kurekebisha ufaulu wa mliowafelisha?

Ndimi Bazazi akujalie Daima.
 
Mbona ma beki 3 wapo wengi.? Kwa qualification zako huku huwezi pata labda urudi Fb
 
Ewaaaaa......sasa hilo jukumu niachie mimi.
mlete huku ninapoishi angalau akae na mimi kwa miezi 6 nadhani baada ya hapo tutakuwa tumelipatia ufumbuzi hili suala.
Ila wivu marufuku.

Mwambie pale kwa Mtogole siku hizi pamewekwa lami, hivo asiogope.

halafu pia yumba nyingi nyingi zimepakwa ile rangi ile ya "part of Etisalat"
hivyo mazingira yanaridhisha kwa ujumla......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…