Matokeo ya uchaguzi yaliyowapa ushindi Wabunge wa ccm mkoani Kagera na hasa kagasheki yamenihuzunisha sana ikizingatiwa huko ndo nyumbani. Wale wa kwetu, kuendelea na ccm bila wapinzani si ni sawa na kukataa maendeleo? Tujipangeje 2015?
:A S-cry::A S-frusty::frusty: Nitaku PM Omutwale nikuambie jambo!Matokeo ya uchaguzi yaliyowapa ushindi Wabunge wa ccm mkoani Kagera na hasa kagasheki yamenihuzunisha sana ikizingatiwa huko ndo nyumbani. Wale wa kwetu, kuendelea na ccm bila wapinzani si ni sawa na kukataa maendeleo? Tujipangeje 2015?
Ujui kitu unasema wewe.hivi we omutwale.. unafikiria vizuri wewe.....usishabikie chama ukasahau mtu anayeweza kuleya maendeleo....kagasheki desserve it
:A S-cry::A S-frusty::frusty: Nitaku PM Omutwale nikuambie jambo!
Matokeo ya uchaguzi yaliyowapa ushindi Wabunge wa ccm mkoani Kagera na hasa kagasheki yamenihuzunisha sana ikizingatiwa huko ndo nyumbani. Wale wa kwetu, kuendelea na ccm bila wapinzani si ni sawa na kukataa maendeleo? Tujipangeje 2015?
Bwana Mshanage!! Mimi pia kule ni kwetu tena jimbo la NKENGE, ni ukweli CCM inatawala ila wabunge wetu ni wa ukweli wanazidi wengi wa upinzani. KAGASHEKI namkubali, Mama Tibaijuka namkubali pia. Sasa ukiwa na hawa upinzani wa nini!!!!