Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

Ni kwwli usemayo mkuu. Tunachanja sana. Wajita wametuzidi uchawi na umbea, wanaongea hao. Ukigombana na mke/mume mjita utafikiri umeweka flash disk ya 2TB iliyojazwa taarabu za audio.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Watu wa Aina hiyo mnawaoa ili mgundue Nini ?
 
Hahahahhahahaha kuna jamaa yangu kaowa mkurya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi kati mke wake kafungua tv kwenye stand ya ukitani kaibamizia chini[emoji23][emoji23]
Star x 32[emoji23][emoji23]
Mamaeee[emoji3]
 
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
Ubaguzi uko ktk jamii nyingi tu hilo wala sio tatizo, hoja kubwa hapo ni huyo binti, anajua historia kuwa watu wa musoma ni wakatili ila sio wote, ilikua ni juu yake kufanya uchunguzi juu yako na kufanya maamuzi sahihi, na kuwa mjumbe wako kwa wazazi wake ili wajue wewe sio katili au ni katili kama watu wengine wa musoma. Maamuzi anayo binti usimlazimishe, mpe muda afikirie atoe majibu.
 
Hata mimi ningekukataa kuoa binti yangu, nyie watu w Musoma mna ishu sana....kwanza hamna mapenzi ya kweli sijuwi wanawake wenu lakini, kuua wake zenu ni kawaida sana, kukatana mboo na visu ni moja ya ujasiri wenu, nani atakubali mwanawe aolewe na mtu wa Musoma? Oaneni wenuewe kwa wenyewe kwani mmezoea mikiki ya ndoa.
 
Unaongea kama umekatwa kichwa mkuu. Swala LA kupiga halina ukanda.

Kwanza musoma ni wilaya tu. Mara ina makabila zaid ya 20 ,tumia akili kuongea.
 
Kwani lazima ukaoe huko? Achana na binti yao tafuta mwanamke mwingine oa, kinachotakiwa kikuhangaishe ni pesa sio mapenzi,Mimi hata mwanamke wangu leo,akisema sikutaki namwambia poa tu,Wala hainiumizi kichwa.
Kumbuka penzi Siri ya daladala,akishuka mtu anakaa mwingine.
 
Yes, Musoma ni Wilaya tu ndani ya mkoa wa Mara wenye makabila 26+ na bado tu mko nyuma sana katika mapenzi mpaka mmeathiri akili za wake zenu kwani wanafikiri msipowapiga hamuwapendi. Wewe inabidi uachishwe tu na huyo binti wa watu ipo siku utakuja kumuua tu kwa kipigo, hamueleweki nyie wapuuzi. Lione kwanza gaidi la Kijita, hiloooo.
 
Kama kweli unampenda mtoto wa watu, badilisha kabila. Hamisha wazazi wako huko Musoma (maana ni uswekeni sana u know) wapeleke Njombe. Usiache mtu unayempenda kwa sababu za kijingajinga.
 
Mkuu, mimi nakushauri "achana na hiyo ndoa".
Nimekushauri kwa kifupi tu, kwasababu sijiskii kuandika mambo meeeengi
Ila We Jamaa Bhana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
Usilazimishe wao hawakutaki,kulazmisha ndoa ni sawa na kukamatwa na madawa uarabuni
 
hahahah sasa
Hahahahhahahaha kuna jamaa yangu kaowa mkurya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi kati mke wake kafungua tv kwenye stand ya ukitani kaibamizia chini[emoji23][emoji23]
Star x 32[emoji23][emoji23]
TV ilimkosea nini aisee?
 
Ubaguzi uko ktk jamii nyingi tu hilo wala sio tatizo, hoja kubwa hapo ni huyo binti, anajua historia kuwa watu wa musoma ni wakatili ila sio wote, ilikua ni juu yake kufanya uchunguzi juu yako na kufanya maamuzi sahihi, na kuwa mjumbe wako kwa wazazi wake ili wajue wewe sio katili au ni katili kama watu wengine wa musoma. Maamuzi anayo binti usimlazimishe, mpe muda afikirie atoe majibu.
Noted mkuu, ahsante kwa ushauri.
 
Kwani lazima ukaoe huko? Achana na binti yao tafuta mwanamke mwingine oa, kinachotakiwa kikuhangaishe ni pesa sio mapenzi,Mimi hata mwanamke wangu leo,akisema sikutaki namwambia poa tu,Wala hainiumizi kichwa.
Kumbuka penzi Siri ya daladala,akishuka mtu anakaa mwingine.
Tuko pamoja kiongozi
 
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
Sasa ulitakaje? Hata mimi nisingekubali wewe uishi au hata kuoa binti yangu....unatoka Mara (Musoma)? Yaani umeacha dada zako kina Lady Jide, Esther Bulaya, Esther Matiko waliozoea kuchapwa na waume zao uende kuishi na kumpiga mtoto wa watu tena toka iringa? Wewe utakuwa na hitilafu tu kichwani, si bure.
 
Back
Top Bottom