Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

Ukipata mwanamke aliyekulia mazingira ya Tarime kwenyewe halafu ukawa legelege watasema umepewa limbwata. Wanawake kule wanapenda angalau kila baada ya muda unashtua kidogo, hiyo ni ishara ya upendo.

Hahahah noma sana mkuu
 
Muache ukatili sasa na hao majirani zenu wakurya ndio wameharibu zaidi ramani ya mkoa
 
Vizuri sana....ukome kabisa

Pumbavu kabisa,unaacha wanawake wazuri wa kwenu,tena wana heshima zao unakambilia makabila hata huyajui wala hayakufahamu,eti unataka kuoa huko!

Hivi hii mitoto itakuja kua na akili lini?

Hizo ni laana za wadada wa Kijita ulio wadharau as if wao ni matakataka that are not good enough for you mpaka uende kuoa wengine

Usiniletee upumbavu eti wa "mapenzi"....ooh "tulipendana sana"...na bla bla zingine za kipumbavu,hakuna hicho

Ni jukumu lako kuwapenda wanawake wa kwenu na kuhakikisha they are taken care of,and you commit to them long term in life

SAFI SANA,tena huyo mzee angekaa na bastola getini kwake,ukitokea tu apige risasi ya matako kabisa...mwanaume gani punguani na bure namna hii linakimbia majukumu ya kwao?

Pumbavu kabisa,huna maana....hao wadada wa Kijita na wakuloge kabisa mpumbavu wewe!

Wadada wazuri na wana heshima sana,wamekulea mpumbavu wewe,eti leo unatanua mitako unaenda kuoa watu hata hawataki kukuona kivuli chako,bure kabisa yaani!

Nimechukia sana leo mamaeee
Heee[emoji849][emoji849] yamekua hv tena[emoji43][emoji43][emoji43]
 
, kuua wake zenu ni kawaida sana, kukatana mboo na visu ni moja ya ujasiri wenu, nani atakubali mwanawe aolewe na mtu wa Musoma? Oaneni wenuewe kwa wenyewe kwani mmezoea mikiki ya ndoa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafuta manzi mwengine..huyo achana nae.
 
  • Thanks
Reactions: mps
Vizuri sana....ukome kabisa

Pumbavu kabisa,unaacha wanawake wazuri wa kwenu,tena wana heshima zao unakambilia makabila hata huyajui wala hayakufahamu,eti unataka kuoa huko!

Hivi hii mitoto itakuja kua na akili lini?

Hizo ni laana za wadada wa Kijita ulio wadharau as if wao ni matakataka that are not good enough for you mpaka uende kuoa wengine

Usiniletee upumbavu eti wa "mapenzi"....ooh "tulipendana sana"...na bla bla zingine za kipumbavu,hakuna hicho

Ni jukumu lako kuwapenda wanawake wa kwenu na kuhakikisha they are taken care of,and you commit to them long term in life

SAFI SANA,tena huyo mzee angekaa na bastola getini kwake,ukitokea tu apige risasi ya matako kabisa...mwanaume gani punguani na bure namna hii linakimbia majukumu ya kwao?

Pumbavu kabisa,huna maana....hao wadada wa Kijita na wakuloge kabisa mpumbavu wewe!

Wadada wazuri na wana heshima sana,wamekulea mpumbavu wewe,eti leo unatanua mitako unaenda kuoa watu hata hawataki kukuona kivuli chako,bure kabisa yaani!

Nimechukia sana leo mamaeee
😂😂😂😂 Kunywa mma hasira zipungue🤣🤣🤣🤣
 
hyo labda yenu HAIAMINIKI.
Hamchelewi kukatana MAPANGA
Wazazi wake wapo SAHIHI
 
Ndugu yangu nae familia ilimgomea katu katu kuolewa na mtu wa kanda yako....saivi ana watoto watatu baba watoto alie mpata tofauti na yule yupo yupo anasema bado hajawa tayari kuwa na familia.....

Usilazimishe maji kupanda mlima...waachie binti yako...usije ishi ndoa isiyo kuwa na baraka za wazazi
 
Simuombei mchumba wangu yamkute haya, ila wakati mwingine wazazi/ndugu huharibu muelekeo wa maisha ya watoto wao bila kujua
 
Ngoja nikanywe maana nimechafukwa na hili mtu...
Sipendi jitu linadharau wa kwao namna hiyo aiseee..ni dharau kubwa sana...na huyo mzee angepiga risasi kabisa hii takataka
Kutokuoa kabila lako sio kwamba umewadharau, unazeeka vibaya jamaa.

Unaonekana umekaa kinokonoko sana, kuna siku utakuja kuharibu kwa binti au kijana wako kwa mawazo yako ya kijima
 
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
njia zipo na lazima umpate ila kikubwa njoo nyumban musoma tuonanee home boy ukifika tu kesho kesho unamchukua buree hata pasipo mahalii mi npo tarime.
 
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
Siku wazinzi na watangaza nia ni wakwe?

Ama kweli ukistaajabu ya TUNDU utaona ya SEIF
 
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
Nenda nyumbani kwao peleka kishika uchumba na zawadi ya gari kwa baba mkwe, akikataa rudi hapa nikupe ushauri zaidi
 
Ni kwwli usemayo mkuu. Tunachanja sana. Wajita wametuzidi uchawi na umbea, wanaongea hao. Ukigombana na mke/mume mjita utafikiri umeweka flash disk ya 2TB iliyojazwa taarabu za audio.
Ni ukweli mtupu, yaani ndugu wanavyopenda kuingilia ndoa za watoto wao ndugu zao na ikiwa kaoa kabila nyingine kweli hao wazazi nawapongeza sana
 
Back
Top Bottom