Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

Mi nimeoa mgalatia afu nikamsilimisha sasaivi kama kawa sala 5 tena msikitini tu
 
Amesha silim ila wazazi sasa ndo maana nikauliza nivute bila ridhaa ya wazee au??

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Amesha silim ila wazazi sasa ndo maana nikauliza nivute bila ridhaa ya wazee au??

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu wakati wenyewe mmekubaliana songeni mbele msirudi nyuma, wazazi hawana haki hiyo kidini na kidunia.Sasa kama mtu amesha silimu sasa wataka umuache njiani? Utakuwa umefanya kosa kidini. Kwa vile amesha silimu basi wewe unahaki zaidi kuliko wao.katika uislamu udugu wa imani ndio wenye nguvu zaidi kuliko udugu wa damu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Back
Top Bottom