Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

Waungwana nisaidieni, nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam, wakwe wanasema sifa zooote ninazo ila dini yangu eti sisi wengi wetu ni magaidi, bibie yeye yuko radhi tufunge ndoa bila ridhaa ya wazazi ila mimi naona haiwezekani hususan kwa tuhuma hii ya kidini, sasa wanajamii mnanishauri nini na upande wa dini je inaswihi ndoa ya ilofungwa bila ridhaa ya wazazi,, habari hii si ya kubuni hivyo naomba muelewe hivyo

Wanaogopa majanga. Kuchomewa vibanda nani anataka???!!!! POLEEEEEEEEEE
 
hivi waislamu bado hamjajua mlivyo na jina baya nchini? yaani hata wewe vitendo vya wenzio mliohadaika nao na hii imani ya waarabu huvioni tu?

umenikera , then huyo shetani unayempinga nna wasiwas naye
 
akibadili dini, je anaweza kuishi na tension kwa nduguze mwenyewe?
Seriously, kama unajijua kwenu ni watu wa kujali sana kuhusu dini why dont you date within your religion? Aaagh!

Na hilo ni kubwa sana, haya mapenzi ambayo unachagua it is better to be in the safe side (dini iwe moja ya vigezo muhimu). Hivi Eiyer ni dini gani vile? LOL
 
Last edited by a moderator:
Mimi mwanamke hata awe mzuri vipi akisha kuwa Mkristo basi sioi kabisa, mana sitaki kuishi na watu wanao abudu picture kubwa ya binadamu wasio mjua, na hapo hapo wamempigilia Misumari inatisha.

Hivi Mungu anapigiliwa mismumari kweli?

Akiingia Uislam naowa, kama hajaingi uislam akae na wazazi wake tu.
 
umkenikera, kama lengo lako ni kuoa muislam ,c lazima ukashfu wasio waislam
 
Na mimi hamjui mnavyo nikera kumfananisha Mungu na binadamu, afu mmepigilia na misumari msalabani.

Kawaida Mu islam kuoa Mu Islam sio kwenda kuoa kwa wanamshirikisha Mungu.
 
Waungwana nisaidieni, nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam, wakwe wanasema sifa zooote ninazo ila dini yangu eti sisi wengi wetu ni magaidi, bibie yeye yuko radhi tufunge ndoa bila ridhaa ya wazazi ila mimi naona haiwezekani hususan kwa tuhuma hii ya kidini, sasa wanajamii mnanishauri nini na upande wa dini je inaswihi ndoa ya ilofungwa bila ridhaa ya wazazi,, habari hii si ya kubuni hivyo naomba muelewe hivyo

Badili dini bwana, mbona unakuwa kama hujui mambinu ya kung'oa warembo?
 
Ukiona hayo yanatokea kwa kukataliwa na wazazi wake, Basi ujue Mungu kuna kitu anakuepusha using'ang'anie sana , mwache tafuta wa dhehebu lako.

Mimi baba yangu mkubwa aliapa kuwa watoto wake hawataolewa na wanaume maskini au waislamu, Basi wooote wamezalishwa na waislam , na hakuna hata mmoja aliyeolewa. kwa hiyo wewe shukuru Mungu songa mbele . Tafuta wa Aina yako.
 
Mimi mwanamke hata awe mzuri vipi akisha kuwa Mkristo basi sioi kabisa, mana sitaki kuishi na watu wanao abudu picture kubwa ya binadamu wasio mjua, na hapo hapo wamempigilia Misumari inatisha.
Hivi Mungu anapigiliwa mismumari kweli?

Akiingia Uislam naowa, kama hajaingi uislam akae na wazazi wake tu.

Good for you, ndio maana mimi hata kudate 'wa mwana yala' as we call you kwa kinyamwezi siwezi; maana nitakulisha denda ya Kitimoto!
 
Ukiona hayo yanatokea kwa kukataliwa na wazazi wake, Basi ujue Mungu kuna kitu anakuepusha using'ang'anie sana , mwache tafuta wa dhehebu lako.

Mimi baba yangu mkubwa aliapa kuwa watoto wake hawataolewa na wanaume maskini au waislamu, Basi wooote wamezalishwa na waislam , na hakuna hata mmoja aliyeolewa. kwa hiyo wewe shukuru Mungu songa mbele . Tafuta wa Aina yako.
Safi sana mana ukitaka kukashifu dini ya Mungu, unatengenezwa hapa hapa duniani.

Tena umetoa mfano mzuri sana wa baba yako mkubwa, mwambie next time aweke heshima ASIAPE HOVYO HOVYO.

Babe Lisa leo nimekupenda kweli kweli, kwa kuongea maneno kama hayo....Mwaaa and happy new year 😛oa
 
Pole sana! Kufunga ndoa bila ridhaa ya wazazi si nzuri sana, cha kufanya endelea kuwa shawishi na yeye mwenzio aendelee kuwa sihi wazazi wake wawape baraka!

Pamoja mnapendana ila baraka za wazazi ni muhimu sana!

Usijali dunia ndivyo ilivyo.

Waungwana nisaidieni, nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam, wakwe wanasema sifa zooote ninazo ila dini yangu eti sisi wengi wetu ni magaidi, bibie yeye yuko radhi tufunge ndoa bila ridhaa ya wazazi ila mimi naona haiwezekani hususan kwa tuhuma hii ya kidini, sasa wanajamii mnanishauri nini na upande wa dini je inaswihi ndoa ya ilofungwa bila ridhaa ya wazazi,, habari hii si ya kubuni hivyo naomba muelewe hivyo
 
Waungwana nisaidieni, nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam, wakwe wanasema sifa zooote ninazo ila dini yangu eti sisi wengi wetu ni magaidi, bibie yeye yuko radhi tufunge ndoa bila ridhaa ya wazazi ila mimi naona haiwezekani hususan kwa tuhuma hii ya kidini, sasa wanajamii mnanishauri nini na upande wa dini je inaswihi ndoa ya ilofungwa bila ridhaa ya wazazi,, habari hii si ya kubuni hivyo naomba muelewe hivyo

Hakufai..tafuta muislam mwenzako wapo teleee kama pishi ya mchele....ya nini kupata shida?...sasa ukiruhusiwa? itakuwaje.....watoto dini gani ? ....weka mapenzi pembeni....kama hataki kusilimu wachana nae....angalia zaidi mbeleni
 
Good for you, ndio maana mimi hata kudate 'wa mwana yala' as we call you kwa kinyamwezi siwezi; maana nitakulisha denda ya Kitimoto!
Chiichiii na mdomo wako utakavyo kuwa nanuka nuka kinguruwe sidhani kama tauweza hata ku-usogelea :biggrin1:
 
mkuu usifanye kosa kuoa bila ridhaa ya wazazi, maana maisha ni zaidi ya watu wawili.. jadilianeni vizuri na mkeo... usitumie jazba swala la muda tu litaamua "time will tell'
Mkuu embu analyse scientifically ni mathara gani wanayoweza kuyapata wasipopata ridhaa ya wazazi!
 
Kaunga
Hapo kwenye kubadili dini ndio tatizo kabisa maana najua hawezi kubadili hasa ukizingatia ni mwanaume! Wazazi wa huyo msichana ni wazi hawataki mtoto wao kubadili dini!

Can you do without her?
Can you change dini?
Can you do without the consent of ur inlaws?

Majibu ya haya maswali yatakusaidia kufanya decision l think.
 
Last edited by a moderator:
mkuu usifanye kosa kuoa bila ridhaa ya wazazi, maana maisha ni zaidi ya watu wawili.. jadilianeni vizuri na mkeo... usitumie jazba swala la muda tu litaamua "time will tell'

Nimelipenda jibu lako (ushauri wako) ndugu Mndali!
 
We oa bila ridhaa kisha siku ya siku hatuombei ila imetokea bibie yupo hoi bin taaban au ameenda ahera sijui utafanyeje??
Mkuu mtu akifa hata kama wazazi wake walikuwa hawakutaki lazima mazishi yatafanyika tu!hivyo ni vitisho tu!
 
Chiichiii na mdomo wako utakavyo kuwa nanuka nuka kinguruwe sidhani kama tauweza hata ku-usogelea :biggrin1:

Ndio maana naweepushia adha ya harufu ya nguruwe, au nafanya makosa????? LOL
 
Seepa Mbona Nasi Tunao Madem Wazuri Tena Wanaojiheshimu Kuzidi Huyo Wa Wazazi Mambwiga?
Sepa Kamanda Langu!
Naona umeshindwa kujua tatizo la jamaa yako,kwani hao mademu wazuri wa kiislamu yeye hawaoni?mkuu naona ushauri wako ni kama nguvu za giza!
 
Back
Top Bottom