Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

Inamaana umekosa Mwislam mwenzako ukafunge naye ndoa huko msikitini? Kwa mwenye imani ya kweli hicho unachokitaka ni kitu kigumu sana na kimsingi, hakuna mtu serious kiimani (awe mzazi au yeye mwenyewe) binti atakayekubali kiukweli. Tazama upande wa pili utaona kuwa kwa misingi ya dini ya kiislam, ndoa kati ya mwislam na asiye mwislam iliyofunga bomani ni uzinzi. Sasa rudi ujiulize, je, hiyo ndoa yenu itafungwa wapi? Je, kama huyo binti atakubari ndoa yake ikafungwe msikitini, atakuwa ameiamini imani yake mpaka akaamua kuwa sehemu ya hiyo imani kweli au atakuwa amependa ndoa tu na akaendelea kukupigia kwaya ndani mpaka wewe mwenyewe na ndugu zako wote wataanza kuchukia muda si mrefu? Msingi wa ndoa ni imani. Yeye amekulia ktk mazingira yakuamini kuwa ndoa ni mke mmoja na mume mmoja, je, ikija baadaye mapenzi yakapungua kati yenu na ukataka kuoa mke wa pili, je yeye atakuwa tayari? Dont be blinded na mapenzi ya leo. Fikiria hata baada ya miaka kumi mkiwa pamoja.

Waungwana nisaidieni, nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam, wakwe wanasema sifa zooote ninazo ila dini yangu eti sisi wengi wetu ni magaidi, bibie yeye yuko radhi tufunge ndoa bila ridhaa ya wazazi ila mimi naona haiwezekani hususan kwa tuhuma hii ya kidini, sasa wanajamii mnanishauri nini na upande wa dini je inaswihi ndoa ya ilofungwa bila ridhaa ya wazazi,, habari hii si ya kubuni hivyo naomba muelewe hivyo
 
Wazazi wanaogopa wajukuu hybrid watakauwa 'wabayaaaaaaaa' na vuguvugu hili la udini.
 
ndoa ni makubaliano ya pande zote.!!!,muafaka haujapatikana,then kinachofuata ni uamuzi wako wa kufanya mchakato mwingine.
 
Wazazi wa binti wanaona mbali sana. Hawataki binti yao aanze kwenda kufukua na kugaragara kwenye makaburi yao kwa ajli ya majuto. Bado ni binti hajaolewa kwa hiyo hajui maana halisi ya ndoa. Wazazi wake wanampenda.

Ushauri wangu, wewe tafuta muislam mwenzako ambaye anamtazamo sawa na wewe juu ya ndoa. Utakapooa wake mia moja kila siku na kutoa talaka hatashangaa. Utakapomwambia mwezi huu nina zamu na wanawake wengine, hataona ajabu. Atakapoona unaoa vitoto vva madrasa atatabasamu tu. Utakapomwambia umemchoka unampa talaka aende kwao kwake atakuwa amejiandaa. Na kwa ajili ya hilo atakuwa anajua hata namna ya kukuibia na kukuficha siri zake nyingi akijua wewe si mwenzake. Kesho utakuwa na wengine na utamtaliki.

Hata utkapomwambia sharia imehukumu kuua watoto wake watakaoamua kuwa Wakristo kwa kuijua kweli naye ataung amkono.

Kinyume cha hapo Ukristo na hayo mazagazaga yenu na mandoa yenye makerere na vurugu zisizoisha hadi mnadai yaundiwe mahakama, ni sawa na mashariki na magaribi.

Achana uharibifu wako wa kutaka kuharibu maisha ya watoto Wastaarabu wa Kikristo.
 
Naunga mkno kabisa msimamo wa hao wazazi wa huyo binti, nyumbani kwangu ni marufuku Gaidi kuja kuposa, siwezi kumpa mke mtu anayetuita sisi Makafir, Never.
 
Hapana hata Mwenyezi Mungu anasema hapendi wajinga, huwezi kukaa kimya ukiona kuna wajinga, lazima uwape elimu ili wajue kama wanakosea :biggrin1:


Sasa kama ni wajinga basi wewe ni mmoja wapo. Kuhukumu kwa jambo usilolijua ndio ujinga kupita yote.

Samahani, si mpenzi wa kuwaudhi watu lakini jamii ya namna hii haihitajiki katika ulimwengu wa leo. Sio kila jambo usilolifanya ni ujinga.

Nikukumbushe tu kama hujawahi kwenda Makka kuhiji. Je yule shetani wanayemtupia mawe kwenye hatua za mwisho za kuhiji huwa ni shetani kweli? Inamaana shetani anakaa mahali 'patakatifu' ambapo watu wanaenda kuabudu?

Je unafahamu Al-kahaba na historia yake ambapo watu huenda kuhiji?

Give us a break! Ebu tujifunze kuheshimu wengine na tamaduni zao. Ukiona watu wamenyamaza sio kwamba hawajui udhaifu wako bako bali hekima na busara zinatawala.

Angalizo: Si mtu wa mijadala; hii nimeweka tu kujibu watu wanaoenda nje ya mada kwa kuendeleza kashfa!
 
Back to the topic.... kwanini wewe usibadili dni?! simple, kama hutaki basi sepa, chapa lapa!! hacha kulia lia humu jf!!
 
We usiwe bwe.ge kua KAFIR sababu ya mwanamke
 
hivi waislamu bado hamjajua mlivyo na jina baya nchini? yaani hata wewe vitendo vya wenzio mliohadaika nao na hii imani ya waarabu huvioni tu?

Jina baya anayo mamako na dadako pimbi we a.k.a mgalatia
 
nina suali. yy huyo bint christian or muslim? na kama christian kumlingania kuingia ktk uislam ndio vizur utapata thawabu kwa m,mungu ila kwaushaur ungeoa muilsma mwenzako bro ,, kama kweli unajali dini yako na unamjua mungu wako .na hsusan unaona familia yake haikukubali cos hap ata ukimuoa kama sio muslim, fikiria kizaz chako cha baadae,,
 
Mimi huwa sipepesi wala simung'unyi, THEY ARE RIGHT!

Najua hili litaleta jazba na majibizano lakini kuna mambo ambayo wazazi wanayaepuka na nyie mnapaswa kuelewa. Mwanamke anaposikia suala la kuolewa, huwa anasahau consequences za ndoa yenyewe na akili yake hupagawa na illusions za mahaba.

1. Ndoa ya namna gani mnakwenda kufunga na mtu ambaye si wa dini yako?
2. Nyie mna kawaida ya kuwa na wake rundo, hilo mama huyo analizingatia au anaongozwa na ashiki baadaye aje asumbue watu mtujazie chokoraa manjiani?
3. Kuna haya mambo yenu ya nyota na utabiri ambayo kwa Wakristo ni DHAMBI, yataambatanishwa vipi na maisha yenu? Yupo radhi watoto wapigiwe ramli?
4. Kwa Wakristo, mume akifa, MKE na Watoto humrithi na si watu wengine. Kwa wasilamu, kuna msururu lukuki unasubiri kuponea mali ya marehemu (mama, wifi, baba, msikiti, n.k) mama huyo haya anayajua au anajua utamu wa kitandani tu unaompa?

Tusipende kulea matatizo kwa kuongozwa na hisia bana, tukubaliane ktk hili hakunaga mwisho mzuri. Mahakama ya Kadhi inapigiwa chapuo ili iwalazimishe Waislam kutii dini yao, leo hii unazungumzia kumuongeza mtu asiye wa dini hiyo hiyo ambayo wenyewe hamuitii kwenye kizungumkuti, ni nini kama sio kutafuta majuto?
 
Naunga mkno kabisa msimamo wa hao wazazi wa huyo binti, nyumbani kwangu ni marufuku Gaidi kuja kuposa, siwezi kumpa mke mtu anayetuita sisi Makafir, Never.

Wao wanaamini mwanamke mzuri mwenye heshima ni yule mwenye kuvaa hivi

muslim-women-walk.jpg
Sasa kawezaje kumpenda ambaye si wa imani hii?

Na hawa dada zetu wanabalaaa kwa kweli, hivi jamaa akianza kuongeza wake na roaster ikaanza atarudi wapi kulalama?
 
jitu kama wewe uarabuni ushanyongwa na misifa yako ya kijinga.

Kweli shetani anayajua makazi yake. Kwa hiyo huko Uarabuni ndio wanavyoishi, mtu akikosea kidogo tu ananyongwa. Na wewe uliyemuita mwenzako JITU, unanyongwa au unapongezwa na allah subiani wataala?
 
Mkuu Msumeno usije ukawa ndio wewe ambae umetupiwa barua yako na binti nimjuae hapa Dar;lakn jambo la msingi tafuta wa dini yako maana baraka za wazazi zina umuhimu wake
 
Kiukweli mimi binafsi siwezi kufurahia mtoto wangu aolewe na muislam
"
Lakini sitamkataza
"
Hizi ni dini mbili tofauti zina maadili tofauti.Pia zinaabudu miungu wawili tofauti
"
I knw Islam,i knw this kind of religion.If u don't know what am talking about,please visit FaithFreedom.org | Busting the Islamic Myths for 10 Years Now
"
Nasema siwezi kumkataza kwani yeye kuwa mwanangu haimaanisi nahusika kumuamulia maisha yake ya kiroho.Atakuja kujibu mwenyewe
"
Kaunga usijali najua kuwa unajua mimi ni nani na unajua najua yule BWANA WA MABWANA ni nani!
 
Last edited by a moderator:
Binti huyu ni mwislam kwa sasa yaani kesha slim na wazazi wake japo hawakumkataza ila hawajalipenda hili,, yaani wazaziwake personally hawana shida na mm ila dini yangu eti ni magaidi,, so hata kama kuachana na huyu ntaachanae vipi wakati ananipenda??? Sheria inasemaje katik mazingira haya I mean sheria ya islam,, kwa wazee wa madongo asanteni kwa hisia na mitazamo yenu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kumbe umeshamslimisha kelele za nini kumbe wazazi hawana shida unatutafuťia nini wagalati????? Endelea na harusi bhana!!!!! Au kwavile kaslim bila ya mategemeo yako umebakiwa kinywa wazi kwani hukutegemea litokee??? Maana hicho kilikua kigezo kikubwa ili umuache sasa umefail oa sasa kelele za nini bwana???????
 
peleka mada hii kwenye jukwaa la udini..coz ni mambo ya dini parseeeeeeeee..
 
Hata mimi nilipata tabu kumuoa binti wa kiislamu lakin mm nilikuwa jeuri yao nikamchukua binti wao wakamtenga lakin baadae wametii na anaenda kanisani kama Kawa nyumbani kwa bwana. Jeuri nilikuwa nayo
 
Back
Top Bottom