Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
yani huyo hakupendi hata chembe
akupendae haangalii pesa kama kigezo!!
huko ni kupenda usipopendwa!!utaumia bureee!!
nashukuru,na nimedhamiria kweli kuzisaka,na ninaamini nitazipata tu
Pole kijana sasa hivi hamna mapenzi kuna biashara na ndio maana mtu anaefika bei ndio anapata bidhaa.Wala usilalame maana kuna mwenzio nilikutana nae yeye amemsomesha chuo binti halafu binti kamuona kenge baada ya kumaliza .Ni jambo jema la kumshukuru mungu maana hujui kama huko mbeleni ingekuaje halafu ni wakati wa ww kutafuta pesa ukachukua bidhaa nzuri sokoni.
bwana eeee ukitaka kumkanya mtu mwambie ukweli mchungu!
sasa kama ni hivyo si bora aniambie wazi tu kuliko kuendelea kunitesa kijana mimi na kunipa mawazo meengi sana kichwani mwangu[/QUOTE
ukweli upi tena unaotaka wew wakati ukweli wake ameshakueleza........anavyovitaka hauna....
Kuishi na mwanaume asie na kazi shida sana,kwanza huwa hawajiamini,akiomba pesa huna unamnyanyasa,ukimpa unahongwa!
Kwa sababu yuko nyumbani tu kama kitasa mlangoni basi anaji keep busy kwa kuku track,kutwa uko wapi,mbona leo umechelewa,mbona siku hizi vikao vingi na manung'uniko yasokwisha!
Tafuta kazi bwana Mr Yes uwe busy hata kama kipato kitakuwa kidogo
Kazi na hela ni vitu vya kupita,unaweza kuwa na kazi na hela tena mamilion leo lakini kesho ukawa hauna kazi na hata sh mia hauna,pia unaweza ukawa huna kazi na hela leo lakn kesho ukapata kazi na mamilion ya hela,ni masuala ya muda tu!Cha msingi ni kuvumiliana,leo hana kazi lakini kesho anaweza kupata,au wewe leo una kazi lakini kesho unaweza kupoteza hiyo kazi!
Hahahahaaaaa,wala husijali,mi mwenyewe nitakuja na helmet!Tena na buleti proof husisaau,si unajua watu wengi wanafanya kazi Sudan na huko DRC kwa M23!
nimeiona hiyo avatar yako mkuu,imenitia hamu sana ya kuzisaka labda amani ya nafsi itapatikana,lakini hofu yangu itakuwa ni kwamba nanunua upendo
Maisha magumu haya ujue bora kakwambia ukweli kuliko angekukubalia af awe na wengne wa nje wenye pesa zao..
Ndo utafute kazi sasa nawe,ila kiukweli huyo hajakupenda wala nini ambae angekupenda asingekupa hayo makavu live namna hyo,angevumilia tu af bidae angekwambia in a polite wa.y
..
Kwa huyo si utakua unanunua upendo bali utakua unanunua mchezo,maana she is not a wife material...mtoe kabsa katka mawazo yako
Ss Mr Yes unalalamika nn!!,
Kwa sbb Kiukweli ni kuwa huwezi kumhudumia kwa chochote.
Kuwa na mwanaume asiye na kazi/shughli yyt sio mchezo jamani huo ndo ukweli japo tunasema love ndo mhim ila dah!!!!!
Mwisho wa siku utamegewa tu
Cha mhim tafuta kazi/hela kwanza
anakupenda ila hamuwezi kuwa pamoja!...tambua nafasi na majukumu yako kama mwanaume katika hayo mapenzi yako kwake,achana na "kuumizwa sana" na blah blah za mapenzi ya kinadharia!Mapenzi kweli kizungumkuti,yanayonikuta yanautesa sana moyo wangu.
KUna msichana ambaye ninampenda sana toka siku nyingi na yeye aanalijua hilo,ila kila nikimueleza juu ya hisia zangu uu yake yeye huishia kusema NAKUPENDA ILA HATUWEZI KUWA PAMOJA KWAKUWA HAUNA KAZI,HUNA PESA.
Hiki kitu kinaniumiza sana kwani kukosa kwangu kazi na kukosa pesa kunanifanya nimkose mtu ninayempenda kwa dhati,pia najiuliza hivi siku hizi ndio mapenzi hayawezakani tena mtu aspokuwa na pesa/kazi?ndugu mwana-jamvi,fikiria kama wewe ndio ungekuwa umepata na situation kama hii inayonikumba mimi ungefanyaje?(kumbuka hii ni very true story)
Exactly!!!! Hakuna kurembaremba mdada!! Semeni ukweli mtapunguza dhana ya umarioo mjini!