The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Mapenzi kweli kizungumkuti,yanayonikuta yanautesa sana moyo wangu.
KUna msichana ambaye ninampenda sana toka siku nyingi na yeye aanalijua hilo,ila kila nikimueleza juu ya hisia zangu uu yake yeye huishia kusema NAKUPENDA ILA HATUWEZI KUWA PAMOJA KWAKUWA HAUNA KAZI,HUNA PESA.
Hiki kitu kinaniumiza sana kwani kukosa kwangu kazi na kukosa pesa kunanifanya nimkose mtu ninayempenda kwa dhati,pia najiuliza hivi siku hizi ndio mapenzi hayawezakani tena mtu aspokuwa na pesa/kazi?ndugu mwana-jamvi,fikiria kama wewe ndio ungekuwa umepata na situation kama hii inayonikumba mimi ungefanyaje?(kumbuka hii ni very true story)
"Utapoteza pesa nyingi sana kuwasaka/kufukuzia wanawake, lakini hautakosa/poteza wanawake ukiisaka pesa.....".fuata ushauri wa gfsonwin