bahaticaro
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 100
- 31
nipo idle tangu mwez wa saba nimeshaaply kazi zaid ya sehemu 20 sijapata hata moja nimejichokea maisha magum dah! nimekuwa nayaona:wof:
nipo idle tangu mwez wa saba nimeshaaply kazi zaid ya sehemu 20 sijapata hata moja nimejichokea maisha magum dah! nimekuwa nayaona:wof:
kukata tamaaa ni dhambi, nikutomuamini MUNGU!nipo idle tangu mwez wa saba nimeshaaply kazi zaid ya sehemu 20 sijapata hata moja nimejichokea maisha magum dah! nimekuwa nayaona:wof:
nipo idle tangu mwez wa saba nimeshaaply kazi zaid ya sehemu 20 sijapata hata moja nimejichokea maisha magum dah! nimekuwa nayaona:wof:
Yaani wewe umetuma maombi sehemu 20 na umeshakata tamaa?
Don't abandon your to despair like that. Just keep sending them applications and you'll start getting calls.
Unaweza ukaji sharo kama vipi
na mi nimekata tamaa..... hakuna kazi za box huko??????
asa ww umeanza juzi unakata tamaa, wenzio tuna mwaka wa pili sasa. usikate tamaa ndugu yangu asa hivi tafuata kazi yoyote itakayokupa kuishi wakati unasaka ajira, hata kama ni kupiga tofali kaka usichague kwa sasa. utapata kazi just b mvumilivu. wenzio walikaa miaka mitano ndo wakapata bt walikuwa wavumilivu na maisha yao yako poa sasa
nipo idle tangu mwez wa saba nimeshaaply kazi zaid ya sehemu 20 sijapata hata moja nimejichokea maisha magum dah! nimekuwa nayaona:wof: