Ni wazi kwa sasa nahitaji msada nipate kazi. Nahitaji kazi

chozi 14

Member
Apr 4, 2015
44
68
"Wanasema ukipanga Mungu anacheka"

Elimu Ni Diploma. (2017 Bank & Finance).
Umri :29

Experience: Niliwahi kuwa msaidizi wa muhasibu wakati nasoma.
Pamoja na masoko na mauzo.

Mtaani Mambo magumu Sana jamani, Yaani wakati huu umri huu, nakiri nimeshimdwa kujipata, na nikutokana na Mianguko mingi Sana ya harakati za kujiajiri, biashara nk. (Kushindwa kujipata haina maana nimekata tamaa)

Nilipo Sasa nahitaji tu kushikwa mkono , nirahisishe maisha , nisonge mbelee.
Ni wazi Nina ndoto kubwa sana , ya kufika kule nataka kufika, na kwa uzoefu siwezi fika bila watu.

Ndugu wananchi, mwenye kazi, Viwandani, Vibarua, Maduka karakoo, Office vinywaji (msimamizi) , Cashier , nk

Uaminifu Ni Mkuu Sana.
Nakaribisha chumba Cha mazungumzo.
Namba yangu Ni hii.
#0763075691 Nipigie
Asanteni.
 
"Wanasema ukipanga ,Mungu anacheka"

Elimu Ni Diploma. (2017 Bank & Finance).
Umri :29

Experience: Niliwahi kuwa msaidizi wa muhasibu wakati nasoma.
Pamoja na masoko na mauzo .

Mtaani Mambo magumu Sana jamani, Yaani wakati huu umri huu, nakiri nimeshimdwa kujipata, Na nikutokana na Mianguko mingi Sana ya harakati za kujiajiri,biashara nk. ( Kushindwa kujipata ,Haina maana nimekata tamaa) .

Nilipo Sasa nahitaji tu kushikwa mkono , nirahisishe maisha , nisonge mbelee.
Ni wazi Nina ndoto kubwa sana , ya kufika kule nataka kufika , na kwa uzoefu siwezi fika bila watu .

Ndugu wananchi, mwenye kazi , Viwandani, Vibarua , Maduka karakoo, Office vinywaji (msimamizi) , Cashier , nk

Nahisi wewe ni kajizi fulani, yaani unataka uibe kwa maandishi, mbona unapenda kazi za pesa pesa? Unataka kuwa tajiri haraka haraka!!
Tafuta kazi yako, mimi sina ya kukupa
 
Nahisi wewe ni kajizi fulani, yaani unataka uibe kwa maandishi, mbona unapenda kazi za pesa pesa? Unataka kuwa tajiri haraka haraka!!
Tafuta kazi yako, mimi sina ya kukupa
Napenda kazi za fedha, Ni kweli , sababu Ni moja ya taaluma niliosoma. Kuwa tajiri Ni ndoto yangu , Na siku moja nitahesabika kuwa moja wa matajiri . Kuhusu hisia za Mimi kuwa na WIZI , Jibu Ni HAPANA .

Nafikiri Ni mtazamo hasi ulio nao. Napengine ungeweza kubadili mtazamo huo , kwa kutumia akili zaidi kupambanua Mambo , na si hisia Kama ulivyo fanya na utavyo fanya kwa wengine.
Uwe na siku njema .
 
Back
Top Bottom