Tuliza mshono huo hata wazazi wako ni watanzania pia ni wanafiki kaa utulie unataka msaada nikuambia sipend shoboWatanzania sisi ni wanafiki sana, sasa wewe kujua situation yake inamsaidia nini, kwa yeye kua REAL na kusema unamjua, umeshampa msaada gani ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kukusaidia nenda mwanza kuna kiwanda cha kutengeneza nondo kinahitaji wafanyakazi malipo 12000tshs per day,kipo veta kiregesh kuelekea buswelu kinaitwa nyakato industry
Asante kwa kunitia nguvu kaka, kuna muda unaomba sana Mungu, unakuwa mtu loyal kabisa na unapambana ila hii ya kushindwa hata kuafford foos for my self it very difficult to feel as normal issue, unaweza kuwaza hata kujiua maana unalaza buti aaah wapi yaani maisha haya jamani acheni tu
Habu jaribu kuangalia..kuna watu ukiwaona unaona kabisa huyu anaweza kunisaidia..jaribu kuwaangalia halafu watafute usiogope.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mshamba wewe ! Sasa uache kujitapa kua unamfahamu ilihali hauna msaada wowote kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza mshono huo hata wazazi wako ni watanzania pia ni wanafiki kaa utulie unataka msaada nikuambia sipend shobo
We mwenyewe ni sharobaro mpaka hapo, unaendaje shamba umetupia namna hiyo sasa.Mapambano mwanzo mwisho! Shamba halitaki ushalobalo, shamba halitaki uanze kuwaza matokeo kabla ya kuwaza process, shamba halitaki mkumbo baba, shamba ni biashara kuwa na malengo, hesabu, na adabu ya pesa.
View attachment 1709905View attachment 1709908
Watu wa humu wengi huwaga hawana msaada wengine watakuponda na kukuongezea machungu nakupa angalizo usishtuke sana.
maoni yangu kwanini usitafute partnership na watu wenye mitaji.
Mimi naona huyo lengo lake ni kutuonyesha shamba[emoji4]Mwenzako changamoto yake sio kuchafuka kwa tope wala kushindwa kusimamia au kuingia shambani, mtaji au pesa ya kuendeshea shughuli za shamba ndio tatizo.
Sasa wewe unaelezea usimamizi wa vibarua na mambo ya boot wapi na wapi? Lakini hongera kwa kuwa na shamba.
Sawa kwa heshima yako nacoolBrother though mimi id yako sijakuhamu kwa heshima naomba utulie tufanye hili jambo liishe, nathamini uwepo wenu nyote