Nimekata tamaa ya kuolewa

Nenda kwa yesu mana ni mume wa wajane na wasio na waume so usikate tamaa bado ww nikinyinginya
 
Mimi hapa nimejifunza technique ya huyo kidume, nilidhani imeshaexpaya kumbe Bado inafanya kazi
 
Mkuu subiria PM kutoka kwa Single Mom

Ujue sometimes inagusa moyo ila to be realistic kumuoa mtu bila kumfaham naye akakufaham ni mgumu. I wish ingekuwa rahisi ila sivyo ilivyo. Wakati utaamua.
 
Watu wanaolewa kila siku mpaka wenye wajukuu
 
Pole mumy..we bado ni mdg sana,juz nlkua kwny send off ya dada m1 ivii,ye alkua na miaka 34
 
Kama una sifa za kua mke utaolewa tu usijali....
Mwanamke asie na sifa za kuolewa anatafuta wanaume, ila mwanamke mwenye sifa za kua mke anatafutwa na wanaume+
 

Mwenye mke huongeza wa pili,mwenye wawili huongeza wa tatu,mwenye wa tatu huongeza wa nne.
Wale single siku hizi hawaowi wanaogopa maisha ndio maana akishatia mimba hukimbia majukumu.
Ushauri rizki ikija usichague kama lengo kupata heshima na ndoa.
Okay
 
Uku ni kujitisha tu. Uku kukaa na kuwaza kitu kimoja muda wote mpaka unashindwa kufanya mambo ya maana kumepitwa na wakati.

Kuolewa ni heshima lkn sio lazima. Sasa kama ukupata wa kukuoa yann kujipa pressure bure?? Kwa style yako ya kusubiria ndoa watakuja wengi kwa gia iyo na watapita tu.

Tulizana mama ..usilazimishe mambo. Kizuri kinaitaji subira. Una ajira? Basi fanya mambo mengine ya maendeleo akija mwenye nia mtaendelea. Acha pupa.
 
Kuolewa utaolewa kama una Imani ya Mungu ila usiache kumcha Mungu, Mungu humuinua mtu yule aliye kata tamaa
 
NEEMA ukifika 32 kama bado nipm diniyetu inaitaji 4 name umri huo ntakuwa naongeza thawabu mbinguni tukioana
 

Pole sana mpendwa. Wengi mbona Tuko hivyo ,kwa hiyo sio peke yako na usijisikie vibaya . My dear mume mwema hutoka kwa Mungu . Mshukuru Mungu kwa kuepusha na huyo Dr. Kwa maana imagine kama angekuoa na ndoa yenyewe ya kikristo halafu unakuja kugundua anakusaliti ungefanyaje? So shukuru mungu kwa yote . Please kwa sasa focus on taking care of your Baby . Funga na maombi maalum na wako mbona atakuja a long . Bado Mdogo sana dear so usijikoseshe Raha kwa hilo . Pole sana na kila la heri . Asante!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…