Nimekata tamaa ya kuolewa

Nimekata tamaa ya kuolewa

........ achana na huyo jamaa maana Mungu ndo mpangaji wa kila jambo. Unaweza kukuta ungeolewa nae ndo ungejuta kumfahamu!!
Kwa hiyo Mungu ndio alipanga dada huyu afanywe ngono zembe zembe bila protection apate mimba na jitu lililokuja kusepa, basi Mungu amuoe yeye mwenyewe manake kamlostisha halafu kamtafutia yule jamaa demu mwingine. Kwa sababu Mungu ndio kapanga kila kitu!

Maushauri ya kidini mabovu sana.
 
hahaaa...mm nafikiri ni kale kamchezo...ni katamu lkn..ww unaxemaje
I cant go for this!
Inasemekana kuwa watu wasio kwenye ndoa ndio wanafanya mapenzi mara nyingi zaidi kuliko walio katika ndoa.
Na kwenye suala la watoto, unaweza kupata tu hata bila ndoa, mfano ni mleta mada.
 
Hayo ndiyo malipo yanayolingana na ujinga wake. Kujiachia sio dalili ya kuonyesha upendo hata siku moja. hata hivyo asikate tamaa atapata mkware mwenzake tu maisha yatasonga mbele
 
Mkuu unataka kuipiga ncha ya mkuki kwenzi??

Nahitaji kuoa mwanamke kama wewe ila tu ikiwa utaingia mzima mzima kwenye ndoa isiwe unaendelea na mahusiano mengine hasa na aliyekuzalisha maana haya mambo ya kijinga yapo. Mtoto nitamlea na kumsomesha sio shida. Ila tu ikiwa utaingia mzima mzima.

NB: niliwahi kuwa na mke tukate gana na sina mtoto.
 
Mtoto sio kikwazo dada,mie wife ana watoto wawili nliomkuta nao,pia 28 ni miaka michache.CHA MSINGI TULIA UTAPATA,usije mpapatikia mtu ukitaka "kuweka heshima" ya kuolewa!
 
Jf kwanza hakuna aliekutana na tatizo wengi wetu ni raiki yangu yangu Ndugu yangu Jirani yangu tuwe wawazi kama tulipeperusha bendera sasa iko nusu mlingoti,
Pole sana kwa udhaifu ila usijali sio kila mwenye mtoto afai kuolewa liepuke hilo wazo alaka sana....
 
afadhali mjomba wang chaulaya cku nying alikuwa anatafuta mke

## usihangaike mume umepata!!!!
 
Here lies the problem, kwa nini jamii yetu(hasa ya kiafrika)imewaaminisha wasichana/wanawake kuwa kuolewa ni heshima katika jamii?
Kwa nini?

Hivi ni kweli kuwa heshima inatakiwa kupatikana kutokana na status ya mtu tu(single or married)au inatakiwa kupatikana kutokana na matendo ya mtu na mchango wake katika jamii?


Mkuu kumbuka kulingana na tamaduni za dini zetu ukizaa nje ya ndoa inachukuliwa kama dhambi, sasa ili kuepuka hayo yote nadhani ndio maana tukaambiwa kua ni heshima kuo/kuolewa.
 
Mkuu unataka kuipiga ncha ya mkuki kwenzi??

Ha ha ha...nimeanza kuvutiwa na comments zako...una maneno wewe...ngoja niongeze vocabulari kwenye dikshonari yangu

Hii mara ya pili nakauka kucheka sababu yako...
 
bahati yako ulitoka nduki ningeenda kukutambulisha kwa nguvu ha ha ha ha
muache asake ndoa "marriage is every woman's dream and it is every man's nightmare":smile-big:


Eeeeeh Mungu na kikombe hiki kiniepuke....hii kinywaji wajazie wanaopenda...Amen
 
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri

Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.

( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)

pole sana.mpendwa usikate tamaa kiasi hicho.kwanza kubali kosa la kufanya tendo kabla ya ndoa.ni dhambi kwa maelezo yako inaelekea ulikua umeokoka. na ukawa mwaminifu sana kwa BWANA kwa kutokubali kuugeuza mwili wako hekalu la zinaa. kosa kubwa ulilolifanya ni kutokujua majira na nyakati. [mhubiri 3:1>8] hukujua ya kwamba mume mwema utoka kwa BWANA ukatumia akili zako kutafuta mume na sio kungojea BWANA akupe.napenda kukwambia shetani ni mjanja kuliko wewe unavyofikiria.na kazi ya shetani usiku na mchana kazi yake ni 1 kuwaangusha watakatifu. sassa basi kwanza kabisa nakushauri. mrudie BWANA YESU kwa kuziungama dhambi zako na uhishi maisha matakatifu [1petro1:13>16] pili soma neno la MUNGU na kutenga muda wa kulitafakari na kulitenda.tatu kuwa mtu wa maombi [yoshua 1:8] nne jisamehe wewe mwenyewe. na usiikumbuke dhambi ile uliyoteleza. mwisho msamehe mzazi uliye zaa nae huyo mtoto.kwani hakuwa sahihi kwako. ukifanya haya utamwona MUNGU na atakupa mume mwema. msisitizo jifunze kuishi maisha matakatifu.
 
Mie dadangu ana miaka 58 na ajakata tamaa ya kuolewa,yeye 28!!!!!!!mbona bado kigori?!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom