winlicious naye katendwa angalia msije mkatendana
kwa kuwa mmeteteana nawatakia kila la heri!hatuwezi kutendana kwa kuwa tunajua maumivu ya mapenzi
Hatuwezi tendana tutapendana mileleee
teh tehkwa kuwa mmeteteana nawatakia kila la heri!
nashukuru mkuu lakini Bado nahisi kama naota
pole sana ni maumivu ya muda tu ya kibinadamu muombee kwa Mungu katika sala zako ila uendelee na maisha yako usimrudie tena si mtu mzuri kwako na kwa jamii nzima labda aje kutubu baadae madawa ya kulevya ni kitu kibaya sana anaangamiza wengi sanakwa mara ya kwanza Wakati Anaondoka uhusiano wetu ulikuwa Ume break kwahiyo Ilikuwa ni ngumu kujua Kama ni kweli Anakwenda kusoma au la na Mimi niliambiwa tu na Maswahiba Zake kuwa Binti Amesepa Nchi fulani kimasomo.. Sikutaka kuhoji sana kwa kuwa Alikuwa na Maamuzi Yake na tokea Hapo Sikuwahi kuwasiliana nae mpaka nilipopata hii habari.
Achaga uzembe wa mawazo wewe,Mapenzi yanagusa kila nyanja ya maisha president #magufuli mwenyewe anategemea kupata faraja kutoka kwa mkewe ili ayakamue majipu vizuri. Mungu alileta huo msawazo alikuwa na maana yakeBaada ya kupost vitu sensical kusapoti juhudi za Raisi kupinga wazembezembe kama wewe.. Unakuja lialia kabisa hapa , mtoto wa kiume.
Mnxx.
Wasalaam
Wakuu na wanajukwaa wote.
Nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa. Nimeumia na kuumia sana, sina furaha tena katika maisha yangu kuanzia leo. Mwanamke niliyewahi kumpenda na kuishi naye kwa miaka miwili akaja kuondoka Tanzania akaniaga kuwa anakwenda kusoma Saudi arabia leo nimeliona jina lake kwenye gazeti akiwa ni mmoja wa wanawake waliohukumiwa gerezani miaka tisa kwa kujihusisha na Biashara ya madawa ya kulevya.
Imeniuma na kunichanganya Sana, natamani kumuona, natamani japo niongee nae. Natamani kumuuliza inakuwaje lakini nashindwa pa kuanzia. Nini kilikusibu Shadia mpaka ujiingize Huko? Hayo ndio masomo kweli?
Nimekosa furaha, nimepoteza furaha na sijui kama nitakuwa na furaha kwa kipindi hiki.
Nisamehe Mpenzi wangu huu ndio ukweli.
MOYO WANGU UMEUMIA KUPITA KIASI

kwa mara ya kwanza Wakati Anaondoka uhusiano wetu ulikuwa Ume break kwahiyo Ilikuwa ni ngumu kujua Kama ni kweli Anakwenda kusoma au la na Mimi niliambiwa tu na Maswahiba Zake kuwa Binti Amesepa Nchi fulani kimasomo.. Sikutaka kuhoji sana kwa kuwa Alikuwa na Maamuzi Yake na tokea Hapo Sikuwahi kuwasiliana nae mpaka nilipopata hii habari.