Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,936
- 168,757
Huyo aliefungwa ndo huyo huyo wa humu jf au huyo ni mwingine?
yote maisha. Hunabudi kusonga mbele na mambo yako najua ni ngumu kwa sasa ila fanya hivyo kakanajikaza sana mkuu lakini hili sikulitegemea na ubaya wake hata wadogo zake walikuwa wanakujua lakini hawakuthubutu kunambia
Wasalaam
wakuu na Wanajukwaa wote..
Nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa.. Nimeumia na kuumia sana... Sina furaha tena katika maisha yangu kuanzia leo... Mwanamke niliyewahi kumpenda na kuishi naye kwa miaka miwili akaja kuondoka Tanzania Akiniaga kuwa anakwenda kusoma Saudi arabia Leo nimeliona Jina lake Kwenye Gazeti akiwa ni Mmoja Wa wanawake Waliohukumiwa Gerezani Miaka Tisa kwa kujihusisha na Biashara Ya Madawa ya Kulevya.
Imeniuma na kunichanganya Sana, natamani kumuona, natamani japo niongee nae. Natamani kumuuliza inakuwaje Lakini nashindwa pa kuanzia. Nini Kilikusibu Shadia mpaka ujiingize Huko? Hayo ndio masomo kweli?
Nimekosa furaha, nimepoteza furaha, na sijui kama nitakuwa na furaha kwa kipindi hiki...
Nisamehe Mpenzi wangu huu ndio ukweli.....
MOYO WANGU UMEUMIA KUPITA KIASI
kwani wewe si uliniuliza kuhusu Amu au?
Oya ibra huyo demu hapo juu vipi mna ugomvi kwani
wa jf ni wasasa na Aliyefungwa ni X darling lakini huyu wa jf anamjua kwa kupitia picha
Wew nawe unazani kila kitu chaii
Oya ibra huyo demu hapo juu vipi mna ugomvi kwani
ungejua jinsi ninavyojisikia usingeniuliza Hivyo.. Nimempoteza Shadia.. Nimepoteza furaha yangu
Nimeuliza tu, make waandishi wa story tamu wana vionjo vyao, kama kweli vile!
Unakuja kushangaa story imeanzia hapo.
Na kweli ha ha h