Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

kwa mara ya kwanza Wakati Anaondoka uhusiano wetu ulikuwa Ume break kwahiyo Ilikuwa ni ngumu kujua Kama ni kweli Anakwenda kusoma au la na Mimi niliambiwa tu na Maswahiba Zake kuwa Binti Amesepa Nchi fulani kimasomo.. Sikutaka kuhoji sana kwa kuwa Alikuwa na Maamuzi Yake na tokea Hapo Sikuwahi kuwasiliana nae mpaka nilipopata hii habari.

eeeehhh mmlikuwa mme break kwa hiyo hapo upendo ulikuwa 0 unaumia vipi wakati kila moja alikuwa nalake
 
hatukubreak kwa kupenda bali kwa shinikizo la Wazazi Wake

ok.....pole sana ulikatizwa ulipokuwa unapenda.........hakuweza kukueleza kwa vile tayari hamkuwa kwenye mawasiliano au yeye tayari hakuwa na mapenzi kwako tena baada ya zuio ........mshukuru Muumba wako labd kuna mengi alikuwa anafanya bila wewe kujua inawezekana alikuwa na mtu/mpenzi aliyemwingiza kwenye hayo mambo
 
nadhani Kulikuwa na mengi lakini kama Yupo aliyemuingiza basi atakuwa Amemfanyia kitu kibaya sana.. Amekatisha ndoto nyingi sana Za Binti
 
Pole ibra87

Likuepukalo.....

Bora ukimbize fursa za humu jf tu....
 
Last edited by a moderator:
Mtoto Wa kiume unakaa kulialiaaaa. Mwenzio alikuwa anahustle kutafuta maisha, bahati mbaya akaishia jela, we unaliiia. Life goes on!
 
nadhani Kulikuwa na mengi lakini kama Yupo aliyemuingiza basi atakuwa Amemfanyia kitu kibaya sana.. Amekatisha ndoto nyingi sana Za Binti

ndio hivyo maisha ni pata au potea......usikate tamaa ya maisha songa mbele Mungu atakuongoza
 
Pole ibra87

Likuepukalo.....

Bora ukimbize fursa za humu jf tu....

humu ndani kuna maajabu sana, Unaweza kuchati na mtu ukajua ni KE kumbe ni ME. Ndio maana miye nachangamsha mtu sijawahi kumtumia pm mwanamke Yoyote
 
Last edited by a moderator:
ndio hivyo maisha ni pata au potea......usikate tamaa ya maisha songa mbele Mungu atakuongoza

Ahsante dada lakini Alikuwa bado ni binti mzuri na Mpole sana hakustahili hili... Lakini ni lazima hilo litokee ili tujifunze lakini Kwangu mimi limenipa sononeko la moyo
 
je mngekamatwa na mzigo wote pamoja hapa bongo ingekuwaje? c wote mngeswekwa segerea. sasa sijaelewa unasikitika fedha alizokuwa anakutumia kuwa hutapata tena. maana za kwetu c ndo mnaziita za madafu eti!
 
nimepatwa na Mshtuko mkuu, Nimefadhaishwa sana na hili... Wengi hawajui ninavyojisikia lakini sikulitegemea hili lililotokea: Ahsante mkuu
 
Last edited by a moderator:
nimepatwa na Mshtuko mkuu, Nimefadhaishwa sana na hili... Wengi hawajui ninavyojisikia lakini sikulitegemea hili lililotokea: Ahsante mkuu

Ndio maisha...hayo mkuu
 
je mngekamatwa na mzigo wote pamoja hapa bongo ingekuwaje? c wote mngeswekwa segerea. sasa sijaelewa unasikitika fedha alizokuwa anakutumia kuwa hutapata tena. maana za kwetu c ndo mnaziita za madafu eti!

mkuu hakua ananitumia pesa kwa kuwa nilijua anasoma lakini cha ajabu ni hili lililotokea
 
Back
Top Bottom