THOTHOLITHO
Senior Member
- Apr 29, 2014
- 138
- 57
ok! pole sana naona alikuwa kwenye mchakato wa kutafuta ada ili aweze kumaliza masomo.
Alikuwa bado ni mdogo na ana kila Sifa Ya Kuitwa Wife Material sijajua Alipoingia..
Wasalaam
Wakuu na wanajukwaa wote..
Nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa.. Nimeumia na kuumia sana... Sina furaha tena katika maisha yangu kuanzia leo... Mwanamke niliyewahi kumpenda na kuishi naye kwa miaka miwili akaja kuondoka Tanzania Akiniaga kuwa anakwenda kusoma Saudi arabia Leo nimeliona Jina lake Kwenye Gazeti akiwa ni mmoja wa wanawake waliohukumiwa Gerezani miaka Tisa kwa kujihusisha na Biashara Ya Madawa ya Kulevya.
Imeniuma na kunichanganya Sana, natamani kumuona, natamani japo niongee nae. Natamani kumuuliza inakuwaje Lakini nashindwa pa kuanzia. Nini Kilikusibu Shadia mpaka ujiingize Huko? Hayo ndio masomo kweli?
Nimekosa furaha, nimepoteza furaha, na sijui kama nitakuwa na furaha kwa kipindi hiki...
Nisamehe Mpenzi wangu huu ndio ukweli.....
MOYO WANGU UMEUMIA KUPITA KIASI
mimi niliyekuwa namjua baada Yangu ni Z anto na nasikia jamaa alioa ingawa sikuwa na uhakika kwa kuwa Sikuwepo. Lakini lakusoma hapo napingana na wewWe nawe kupenda mizigo mibovu,Shadya kamaliza wauza magari wote wa Lumumba unakuja kulia humu?halafu akili zenu pia zinafanana,yaani punda anakudanganya hata kusoma vizuri hawezi
nashukuru mkuu lakini Bado nahisi kama naota
Hatuwezi tendana tutapendana mileleeewinlicious naye katendwa angalia msije mkatendana