Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

ukimfukuza kichaa Aliyevua nguo na Wewe utaonekana Kichaa... Huwa sinunuagi wala kutumia so jaribu kwingine....

Tooooba Heaven Sent njoo unisaidie kulia huku maana sio kwa kuvurugwa huku!! Daaah haya ngoja nikatafute wanunuaji wengine, eti ex darling Eli79 unanunua?

Me nawapenda wote jamani, yaishe basi eti
 
Last edited by a moderator:
Tooooba Heaven Sent njoo unisaidie kulia huku maana sio kwa kuvurugwa huku!! Daaah haya ngoja nikatafute wanunuaji wengine, eti ex darling Eli79 unanunua?
Kunani tena humu ex wangu?
Mbona naona habari ya manunuzi na mauzo...
Sijapewa quotation, kujua kipi kinauzwa/kinanunuliwa!!!!
 
Kunani tena humu ex wangu?
Mbona naona habari ya manunuzi na mauzo...
Sijapewa quotation, kujua kipi kinauzwa/kinanunuliwa!!!!

Tuondoke tu mpenzi, disko limeingia masai.
 
nipo kwenye wakati mgumu shem namaanisha kweli... Na Mungu anajua nikiasi gani naumia na kuteswa na hili. Mwambie anisamehe

Naelewa shem wangu, pole sana aisee. Ni vizuri kwa kweli mkisameheane.
C.c atoto
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole sana Ila Saudi Arabia na vyuo wapi na wapi
Anyway piga moyo konde move on ibra87
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole sana Ila Saudi Arabia na vyuo wapi na wapi
Anyway piga moyo konde move on ibra87

yeye ni muislam na wewe unajua kuwa saudia ni nchi ya aina gani katika masomo ya dini so binti aliondoka kwamba anakwenda huko lakini kinyume chake akakamatwa sehemu tofauti
 
Last edited by a moderator:
yeye ni muislam na wewe unajua kuwa saudia ni nchi ya aina gani katika masomo ya dini so binti aliondoka kwamba anakwenda huko lakini kinyume chake akakamatwa sehemu tofauti

Pole sana mkuu
 
sikuwahi kuwaza wala kuzania hili, nimeshtuka na kufadhaika sana
je ulikuwa unawasiliana nae kabla? na je kama ni mpenzi wako ikwa nn asikueleze ukweli kuhusu issue zake? je ulikuwa na uhakika kuwa anaenda kusoma kweli? jibu hayo maswali maana inaonekana kama ulikuwa humjui vizuei huyo mpenzi wako
 
kule kuna vyuo vikuu vya madras
yeye ni muislam na wewe unajua kuwa saudia ni nchi ya aina gani katika masomo ya dini so binti aliondoka kwamba anakwenda huko lakini kinyume chake akakamatwa sehemu tofauti
 
Pole sana.Simanzi imekushika sana.Mahaba yanatesa.Jaribu kunywa pombe kupunguza mawazo.
 
je ulikuwa unawasiliana nae kabla? na je kama ni mpenzi wako ikwa nn asikueleze ukweli kuhusu issue zake? je ulikuwa na uhakika kuwa anaenda kusoma kweli? jibu hayo maswali maana inaonekana kama ulikuwa humjui vizuei huyo mpenzi wako

kwa mara ya kwanza Wakati Anaondoka uhusiano wetu ulikuwa Ume break kwahiyo Ilikuwa ni ngumu kujua Kama ni kweli Anakwenda kusoma au la na Mimi niliambiwa tu na Maswahiba Zake kuwa Binti Amesepa Nchi fulani kimasomo.. Sikutaka kuhoji sana kwa kuwa Alikuwa na Maamuzi Yake na tokea Hapo Sikuwahi kuwasiliana nae mpaka nilipopata hii habari.
 
Pole sana.Simanzi imekushika sana.Mahaba yanatesa.Jaribu kunywa pombe kupunguza mawazo.

mkuu nimejaribu hilo lakini nashindwa kurudi katika Hali yangu ya kawaida
 
Mkuu hebu achana na majuto hayo. Maisha lazima yaendelee, we shukuru Mungu kakuepusha na Punda hilo aisee.

Acha kunung'unika, hakuwa stahiki yako huyo, achana nae

Usimjibu kirahis rahis assume ni wewe ndo yamekufika hayo
 
Back
Top Bottom