Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

pole bro, i know what you are passing through!! Pole sana ktk maisha tunapitia mambo mengi xna cha muhim muombe mungu atakusaidia inaonesha ulimpenda xna huyo dem na lazima ujue maisha yanawabadilisha xna watu. Ila dizain inaonesha kama alikuwa mtu wa tamaa so uenda badae angekusumbua so mshukuru mungu kakuepusha nae
ahsante sana mkuu nashukuru
 
Sasa kama uhusiano ulisha vunjika na mawasiliano hakuna kinachokuumiza ni nini? unajuaje huenda alipata mbadala wako ndie akamtumbukiza kwenye hiyo biashara kharam? Hebu tafakari!! Ni mawazo yangu tu.
Mkuu Nimeumia kwa kuwa bado ni mtoto na bado alikuwa na ndoto zake
 
Achaga uzembe wa mawazo wewe,Mapenzi yanagusa kila nyanja ya maisha president #magufuli mwenyewe anategemea kupata faraja kutoka kwa mkewe ili ayakamue majipu vizuri. Mungu alileta huo msawazo alikuwa na maana yake

Mkuu watu kama hao wapo wengi
 
Mkuu Nimeumia kwa kuwa bado ni mtoto na bado alikuwa na ndoto zake
Mkuu kwa mawazo yangu Mungu alikua upande wako, just imagine kama mngekua mpo pamoja then akakukaribisha huko Saudia na ukaenda ,katika tukio police wanakukuta uko nae, si nawewe si ungekuwa hatiani? Huna sababu ya kumfikiria sana haijarishi Alikuwa na umri gani, huenda huo upunda alianza muda mrefu kabla hajaenda huko Saudia na familia yake ilikuwa inajua mpango mzina, ndio maana hata contact zake walikuwa hawakupi! Mshukuru Mola wako kwa kukuepusha na hili!!
 
Cha kushangaza hakwenda saudia mkuu kumbe alikwenda Macau na Alikuwa akija bongo kwa siri na kubali huko
 
Ndio hapo nilikuwa najiuliza, Saudia na unga wapi na wapi? Kesi ya unga Saud ufungwe na si jambia, hapo nimekuelewa mkuu!!
 
Pole sana kijana ndio maisha hayo na mapito yake so hauna jinsi kuvumilia katika gurudumu hili la maisha. Piga kazi Mungu atakupatia anaye fanana na wewe.
 
msamehe mkuu mwenzio bado anakupenda so far alichokifanya hajalisaliti penzi lenu
 
mkuu Angehitaji msamaha Wangu ningempa lakini kitendo cha kuambiwa alikuwa anarudi hapa nakufanya Kufuru Kimenishangaza na kuniumiza.. Kama bado ningekuwa Moyoni mwake basi alivyorudi angekuja hata kunisabahi lakini Kwa Upande wangu Alikuwa Akiendelea Kuishi ndani Yangu
 
Acha afungwe, hayo ndo malipo take.....tafta mwngne haraka ili akupunguze machungu.
 
Rahisi hivi?? Omba yasikukute fanya kuyasikia kwa jirani mwache auguze kidonda time will heal
 
mkuu Angehitaji msamaha Wangu ningempa lakini kitendo cha kuambiwa alikuwa anarudi hapa nakufanya Kufuru Kimenishangaza na kuniumiza.. Kama bado ningekuwa Moyoni mwake basi alivyorudi angekuja hata kunisabahi lakini Kwa Upande wangu Alikuwa Akiendelea Kuishi ndani Yangu

Yaliyokutokea wewe yamewahi kumtokea ndugu yangu sema yeye hajui if bf wake anakihusisha na drugs au vipi I can imagine how u feel right now sio mwema hiyo omba mungu atakupa lililobora kwako na utasahau kuhusu yeye
 
nashukuru Dada Yangu, Nashukuru Sana nilikuwa nikitamani kurudisha hata Siku nyuma ili nilizuie Hili but Still my Heart Bleeding kwa kuwa Siwezi tena kulizuia na Siwezi tena kumuona...
 
Usijal pole Sana kupotea njia ndo kujua njia utakua sawaa Tu ni mapito haya
 
Ulichotakiwa kufanya kushukuru na kupongeza kwa kukamatwa kwa hilo punda na ungependekeza linyongwe kabisa...huko huko......

Hebu fikiria kama angefanikiwa kuyaingiza hayo madawa huku TANZANIA angeangamiza maisha ya vijana wangapi.....???

Unachotakiwa ni kuweka sherehe na kujipongeza kwa MUNGU kukuondolea jinamizi hilo kwenye maisha yako.......hebu fikiria kama angekamatwa na huo mzigo mkiwa nae chumbani kwa faragha...polisi wangekuelewa kwamba wewe huusiki na huo mzigo.....

BE A MEN.....
 
Back
Top Bottom