Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Mshukuru mungu hajakushikisha mkoba wakati wa kucheck in Airport
 
moyo kazi yake moja tu kusukuma damu, hizo nyingine tafuta pakuzipeleka , by the way pole sanaa
 
Wasalaam

Wakuu na wanajukwaa wote.

Nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa. Nimeumia na kuumia sana, sina furaha tena katika maisha yangu kuanzia leo. Mwanamke niliyewahi kumpenda na kuishi naye kwa miaka miwili akaja kuondoka Tanzania akaniaga kuwa anakwenda kusoma Saudi arabia leo nimeliona jina lake kwenye gazeti akiwa ni mmoja wa wanawake waliohukumiwa gerezani miaka tisa kwa kujihusisha na Biashara ya madawa ya kulevya.

Imeniuma na kunichanganya Sana, natamani kumuona, natamani japo niongee nae. Natamani kumuuliza inakuwaje lakini nashindwa pa kuanzia. Nini kilikusibu Shadia mpaka ujiingize Huko? Hayo ndio masomo kweli?

Nimekosa furaha, nimepoteza furaha na sijui kama nitakuwa na furaha kwa kipindi hiki.

Nisamehe Mpenzi wangu huu ndio ukweli.

MOYO WANGU UMEUMIA KUPITA KIASI
Madawa ya kilevya Saud Arabia?,hahaaaaa sio kifungo bro,ni kukatwa kichwa hadharani siku ya ijumaa.
 
Ajinyonge tu mleta mada maana hamna jinsi!!!!
Saudia arabia wanasomea usharif na makombe majin au kozi gani???
Sio hivo Amu bhana,yaani hata kumuonea huruma mwenzio kidogo hakuna?,daah najuta kukufahamu,vipi lakini vipi yule jamaa mlimalizana katika lile sakata?
 
Pole sana ndo ivo mkuu maisha yanabadilika pia na watu wanabadilika,piga moyo konde fungua ukurasa mpya endelea na maisha yako
 
Back
Top Bottom