Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Duu!! dunia hadaaa ulimwengu shujaaaa

alikuwa binti mstaarabu na mpole sana na ndio maana nilipoipata habari ya kuhukumiwa kwake ilinichukua Siku nzima kuamini
 
kuna maisha baada ya uchaguzi ..
kuna maisha baada ya break-up..
pole sana jamaa
kwetu tuliambiwa tamaa ya pesa zilizokuzidi si nzuri
 
Sa angerudi na mihela ndio ungeipata shukuru MUNGU kakuepusha na balaa
 
ibra87mi unaniacha hoi na majibu yako humu..kwi kwi kwi
 
Last edited by a moderator:
Wasalaam

Wakuu na wanajukwaa wote..

Nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa.. Nimeumia na kuumia sana... Sina furaha tena katika maisha yangu kuanzia leo... Mwanamke niliyewahi kumpenda na kuishi naye kwa miaka miwili akaja kuondoka Tanzania Akiniaga kuwa anakwenda kusoma Saudi arabia Leo nimeliona Jina lake Kwenye Gazeti akiwa ni mmoja wa wanawake waliohukumiwa Gerezani miaka Tisa kwa kujihusisha na Biashara Ya Madawa ya Kulevya.

Imeniuma na kunichanganya Sana, natamani kumuona, natamani japo niongee nae. Natamani kumuuliza inakuwaje Lakini nashindwa pa kuanzia. Nini Kilikusibu Shadia mpaka ujiingize Huko? Hayo ndio masomo kweli?

Nimekosa furaha, nimepoteza furaha, na sijui kama nitakuwa na furaha kwa kipindi hiki...

Nisamehe Mpenzi wangu huu ndio ukweli.....

MOYO WANGU UMEUMIA KUPITA KIASI

broken heart.gif​
 
Daah!! Pole Mkuu!! Usikate Tamaa...Ni Mambo Ya Kawida Japo Yanaumiza..Pole Sanaa!!
 
Teh teh teh teh teh, vipi damu haijaisha tu huko kumoyo? Hadithi yako inatufundisha nini?
 
ukimfukuza kichaa Aliyevua nguo na Wewe utaonekana Kichaa... Huwa sinunuagi wala kutumia so jaribu kwingine....
 
Tooooba Heaven Sent njoo unisaidie kulia huku maana sio kwa kuvurugwa huku!! Daaah haya ngoja nikatafute wanunuaji wengine, eti ex darling Eli79 unanunua?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom