Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Duh yaani Mungu anachagua kweli wa kuwaokoa na wa kuwaweka mbali na majanga,,M/Mungu kakuokoa mkuu yaani ningekuwa mimi nisiye na bahati hata sijui ningepatwa na nini?
 
Duh yaani Mungu anachagua kweli wa kuwaokoa na wa kuwaweka mbali na majanga,,M/Mungu kakuokoa mkuu yaani ningekuwa mimi nisiye na bahati hata sijui ningepatwa na nini?

usiseme hivyo mkuu kama Alivyoniepusha mimi hata wewe angekuepusha hvyo hvyo
 
pole sana. mtoto wa kiume jikaze bhana ibra87
 
Last edited by a moderator:
pole sana. mtoto wa kiume jikaze bhana ibra87

najikaza sana mkuu lakini hili sikulitegemea na ubaya wake hata wadogo zake walikuwa wanakujua lakini hawakuthubutu kunambia
 
Last edited by a moderator:
Miaka miwili pamoja na hukujua wala kuhisi anafanya ishu gani?
 
Back
Top Bottom