Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

Baada ya kupost vitu sensical kusapoti juhudi za Raisi kupinga wazembezembe kama wewe.. Unakuja lialia kabisa hapa , mtoto wa kiume.

Mnxx.

sipo kwenye mood lakini ungenikuta katika ubora wangu ningekujibu kama ulivyoandika... Mzembe ni wewe unayesubiri kutanuliwa miguu
 
Mkuu nyundo tisa nyingi kwakweli hapo inabidi utafute mbadala wake aiseee
 
Ukiweka tu shigongo atapata habari ya kutokea kesho na hivi habari za udaku zimekuwa ngumu kupata jamii forums

Hata kuhusu kukamatwa kwa huyu binti nimesoma kwenye gazeti lake.. Wametajwa kama mia mbili
 
Hata kuhusu kukamatwa kwa huyu binti nimesoma kwenye gazeti lake.. Wametajwa kama mia mbili



Hahahahahaha....kama shigongo dnt take it serious mkuuu unaweza kukuta nae amepewa mipasho tu...jaribu kuchunguza kwanza
 
Pole ndugu.

Ndio inauma kumpoteza umpendae but someday you will be fine.

Time will heal you.

Pole sana.
 
Hahahahahaha....kama shigongo dnt take it serious mkuuu unaweza kukuta nae amepewa mipasho tu...jaribu kuchunguza kwanza

nimetoka nyumbani kwa huyo binti jioni hii na wamesema wao walijua kitambo tu
 
Jux aliimba ntasubiri lakini mwishoe akaamua kuendelea na yake.... utasahau tu... pole sana
 
Wacha story za kutunga wewe saudia haifungi muuza madawa ila inanyonga tu hizo story haipo
 
Usihuzunike kila jaribu lina mlango wa kutokea.kwa Mungu yote yawezekana.Kama ni mkristu chukua muda wako mwingi kwenda kanisani na km ni muislam vivyo hvyo.
 
Duu kama ni stori ya kweli pole jikaze you have to move on

najua mkuu na hii sio chai fuatilia mkuu kuna orodha ya Watu waliodakwa na madawa ya kulevya na Kuhukumiwia jina La Shadia lipo hakuna sababu ya kuleta chai kwenye suala kama hili
 
Ulikuwa unamtimizia mahitaji yake yote?

Wakati nipo nae ndio kwanza Alikuwa amemaliza shule pale kinondoni muslim na Hakuwahi kuonyesha kuwa anafanya hiyo kitu.. Lakini alipoondoka hapa nchini ndipo nilipohisi mabadiliko kwa kuwa hawakuwa na time na Mimi tena... Kwahiyo sina uhakika kama nilikuwa namtimizia au la
 
Wacha story za kutunga wewe saudia haifungi muuza madawa ila inanyonga tu hizo story haipo

kuwa muelewa mkuu, alipoondoka hapa alisema anaenda kusoma saudi na kwa maelezo ya ndugu zake hakuwa ameenda saudi so hatakwao aliwadanganya.. Huwa nachukizwa na Watu ambao kila kitu kwao ni story... Tafuta gazeti la Uwazi Harafu soma uangalie kama ni chai au vipi na Hata humu humu jf kunauzi wa Majina ya wote waliohukumiwa na jina la binti lipo
 
Back
Top Bottom