Narudia tena jaman kudai ni hatari sana kunaweza fanya mt akafa gafla bila ata kujiua,unaweza kupata uchizi,unaweza kufa ndan ya nyumba kwakuogopa kutembea,kuona haibu (kudaiwa kusikie kwa mwenzio tu)
Pambana na hiyo fedhaa na uishinde kihalisia ni kweli utaonekana hufai ila zingatia huo ushauri kaa chini na ongea nae..
Watu wanadaiwa zaidi ya hiyo na maisha yao yanaenda..
Jitahidi kupata utulivu..Utavuka hapa nakuhakikishia utakuja kujiona mjinga na fala sana sikuchache zijazo.MAANA LAZIMA HILI LITAISHA
Kukubali aibu na ukaweka mikakati ya kutotengeneza mazingira yakutokurudia makosa yaliyozaa hiyo aibu ni ushindi wa kipekee sana unaweza jizawadia katka haya maisha.