Nadhani mkuu umechukulia things for granted..inawezekana she is so naive hata ulipomwambia mnaenda guest aliassume unaishi kifamilia na utamaduni wenu haukuruhusu kukaribisha wageni wa kike kwenu..siku nyingine tupia kisentensi cha kiuzushi like "unapokuja please vaa chupi ya pink" asipoleta kipingamizi unajua tu kuwa yupo ready maana mpaka nione chupi lazima nikutawanye.
Ila usikate tamaa, just ask her if next tym itakuwa the same story..akionyesha kutokuwa tayari kubadilika basi achana nae maana kama mchangiaji mmoja alivyosema huwezi jua.....more often than not mtu huwa anaachwa na basi anasikitika then anasikia limepinduka anashangilia