dumbi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2018
- 989
- 1,523
- Thread starter
- #41
Mashahidi wapo waliiona nimekamatwa kwa ajili ya PlayStation kesho naenda kucheza karata ya mwisho wakibug hawatoweza kunishtaki kwa kosa lingine.Katika hiyo biashara kukamatwa ni kama sehemu yake ya uendeshaji biashara ingawa siyo fair.
Niliwahi kukamatwa saa 7 usiku nilikua wazi mpaka mida hiyo.
Niliwahi kukamatwa asubuhi saa 5.
Niliwahi kukamatwa saa nne asubuhi.
Anyway katika ishu zote walitaka pesa. Mara zote nilizozungushana nao sijawahi toa pesa zaidi ya 20K. Hata hivyo mimi nija ID ya Mjasiriamali so walivyosema kuhusu kodi nikawaonyesha id.
Kwakua umesema umegoma kutoa pesa basi kitakachofuata ni kuzungushwa kwa muda mrefu na siku kesi ikienda mahakamani basi mashtaka hayatokua kuchezesha play station.
Niamini mimi.