Nimekamatwa kwa kukutwa nachezesha Playstation.

dumbi

JF-Expert Member
Jan 15, 2018
989
1,523
Habari zenu wakuu muda huu nimefungiwa kwenye kichumba je ni kosa kisheria? Wakininyanyang"nya cm nitakuta majibu kesho maana nataka nikitoka niendelee na biashara ndio biashara inayonipa hela ya kula mimi na watoto wangu.
 
Kuna mawili, either wanafunzi wamekuchoma au muda wa biashara ulipitiliza let say ulichezesha hadi zaidi ya saa 6 usiku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom