Nimekamatika!!!

Nimekamatika!!!

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,210
Reaction score
20,954
Habari za jpili wakuu?

Kuna binti nimempata nina kama miezi mi3 niko naye kwenye mahusiano, alishawahi kuolewa ila mumewe alifariki, kiukweli binti ni mzuri wa sura na tabia pia na kiukweli nampenda kupita kiasi.

Tatizo linakuja kwamba yeye ni muislamu nami ni mkristo, nimejitahidi kumshawishi atoke huko ila amegoma maana mzee wake ni Sheikh, mm nahitaji kumuoa huyu binti, sasa nimefikiria kubadili dini kwa sekunde kadhaa ili nimweke tu ndani japo sina dhamira ya dhati kuwepo huko.

Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na ndoa za namna hii.
 
Kwenye suala la mapenzi na ndoa dini huwa ni kikwazo kikubwa saana hasa kwa wale wenye misimamo mikali na dini zao!

Kama umeamua kubadili badili mazima na sio ubadili ili tuu umuoe hapo siamini kama yatakuwa ni mapenzi ni ili tu utimize lengo.

Tafakari tena upya halafu fikiria watoto wenu watakuwa kwenye msingi wa dini ipi ndipo uchukue maamuzi!
 
Miezi 3 tu unakuja na mbwembwe za kila aina na kujinadi kuwa binti anakupenda sana?
Haitoshi!! Jipe muda kijana. Mapenzi hubadilika muda wowote kadri umri wake unavyoongezeka.
 
Kuna waliofunga ndoa bomani kwakuwa dini tofauti. Baba wa mke akasema mwanae haweziw kuzini lazima waozwe kwa ubani. Sheikh aliitwa jamaa akabadili dini wakati ana.
Mama wa mume alivyosikia aliwaita akaweka mkwara lazima ndoa ya kanisani. Walibatizwa na kuozwa kanisani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom