Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Ujinga kipaji
Usisahau kuleta feedbak as days goes on!
Kwa nini utoe sadaka kwa kujionyesha kwanza?
Ukikuwa unabeep eeeh
bado utaombwa kuwa baba mlezi idara ya akina mama
Wife "kanisa" tofauti
Roho wa mungu atawale fikra zako ili kufikiri kwako, kunena kwako, kutenda kwako, kuudhihirishe ukuu wa mungu katika maisha yako na ya watu wengine wakutazamao. Amina
Safari heri ya mwaka mpya!!!!!!!!!!!!!!!. nataka nikupongeze kwani mwaka huu unaanza vizuri.kukabidhiwa kwaya ni jambo jema kwani umeonekana kuwa unaweza!!!!! IDADI YA WASICHANA ISIKUTISHE SANA NI KAWAIDA TU!!!!Jana nilifika kanisani baada ya kipindi kirefu sana kutokufika. Nikatowa sadaka ya haja. Mwisho wa ibada nikapewa ombi la kukabidhiwa na kuisimamia Kwaya ya kanisa. Ina wavulana 4 na wasichana 16......:crazy::crazy::crazy:
Nimejikuta nikombwa namba yangu ya simu na wana kwaya 10!.......
Mitihani hii.........:evil::evil::evil:
Jana nilifika kanisani baada ya kipindi kirefu sana kutokufika. Nikatowa sadaka ya haja. Mwisho wa ibada nikapewa ombi la kukabidhiwa na kuisimamia Kwaya ya kanisa. Ina wavulana 4 na wasichana 16......:crazy::crazy::crazy:
Nimejikuta nikombwa namba yangu ya simu na wana kwaya 10!.......
Mitihani hii.........:evil::evil::evil:
[TABLE="width: 613"]
[TR]
[TD="class: xl65, width: 139, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: xl66, width: 622, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
2 Timotheo 2:22 Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi.